kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Utakusaidia nini,kwani kujamba kuna cha umri?Umri wako
unakula pilipili, muziki wake unaulewa lakini? Unataka kuzuia kujamba kwa kula pilipili utajikuta umezua tatizo jingine la kushindwa kunyaHabari wana jf.
Jana bana nilienda ugenini kusalimia,tukachoma na kula nyama pori sana.sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka,kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili ili kujamba kuishe.
Je ni kweli pilipili inapunguza kujamba?
Akirekodi kwenye simu kwanza na kukituma humu ili tukisikie kina mlio gani, megabass au sauti nyepesiNanunua kijambo kimoja 200/= njoo tufanye biashara
Hataki kutumia fursa hiyo anajamba jamba tu bila hesabuAkirekodi kwenye simu kwanza na kukituma humu ili tukisikie kina mlio gani, megabass au sauti nyepesi
Huyo mwamba anakutega! Pilipili si itafanya ujambe kwa moto sasa? Utageuza nyumba kuwa kambi ya gesi! Kunywa maji tu, bro!Habari wana JF.
Jana bana nilienda ugenini kusalimia, tukachoma na kula nyama pori sana sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka, kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili ili kujamba kuishe.
Je ni kweli pilipili inapunguza kujamba?