Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Hapa nikalale tuuKama Ema Okwinyo ana miaka 26 hao serengeti hata wakiwa under 10 ni sawa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nikalale tuuKama Ema Okwinyo ana miaka 26 hao serengeti hata wakiwa under 10 ni sawa tu!
Sio lazima wafike kidato cha 4. Wachezaji mpira wengi hawapendi au hawawezi shule.Haikuanza leo. Hivyo mpira ndio option bora ya maisha.Wadau nimekiwa nikipiga kila siku kuwa vijana wetu wa Serengeti boy's sio under 17,kwa factor hizi.
Kama ni kweli vijana hawa wana miaka kumi na saba, inamaana watakuwa wamezaliwa mwaka 2001 . Je kuna mtu anaweza kuniekewa stage amabazo wamezipitia wao vijana mpaka wakawa hapa?
Je Kuna mtu anaweza kunieleza vijana hawa wote wamemaliza form four na ni miaka mingapi sass tangu wamalize shule?
Nasema hawa vijana hawana miaka kumi na saba Narudi hawana View attachment 838097View attachment 838100
😀😀😀😀😀😀 mkuu huu ni uchochezi kwa mabingwa wa kihistoria wa afrika mashariki na katiKama Ema Okwinyo ana miaka 26 hao serengeti hata wakiwa under 10 ni sawa tu!
Matokeo ngapi ngapi Leo na Uganda?nimemskia kelvin leo anasema yupo form two...na akasema amemaliza std seven 2016....imenifanya niamini ni under 17 kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
tumefungwa 2:1Matokeo ngapi ngapi Leo na Uganda?
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Yaani sifa zote zile walizopewa watoto wamefungwa?
Rekebisha mkuu, tulichezea 3 - 1! Mbongo ukishamsifia tu lazima aharibu!
daah...umenikumbusha ile kaunta ya mwisho..iliniuma sana..Rekebisha mkuu, tulichezea 3 - 1! Mbongo ukishamsifia tu lazima aharibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
uganda wapo vizuri...wameguzidi kidogo umakini ila hata madogo wetu walijitahidi...ni sehemu ya mchezoYaani sifa zote zile walizopewa watoto wamefungwa?
Hawa Uganda wanatuzidi wapi?
September 8 tutatoka kweli pale nambole ?
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Nilisoma ktk blog moja wanawasifia hao Serengeti boys ,as if Uganda ni viweteuganda wapo vizuri...wameguzidi kidogo umakini ila hata madogo wetu walijitahidi...ni sehemu ya mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app