Hivi ni kweli Serengeti boys ni under 17?

Hivi ni kweli Serengeti boys ni under 17?

Wadau nimekiwa nikipiga kila siku kuwa vijana wetu wa Serengeti boy's sio under 17,kwa factor hizi.

Kama ni kweli vijana hawa wana miaka kumi na saba, inamaana watakuwa wamezaliwa mwaka 2001 . Je kuna mtu anaweza kuniekewa stage amabazo wamezipitia wao vijana mpaka wakawa hapa?

Je Kuna mtu anaweza kunieleza vijana hawa wote wamemaliza form four na ni miaka mingapi sass tangu wamalize shule?

Nasema hawa vijana hawana miaka kumi na saba Narudi hawana View attachment 838097View attachment 838100
Sio lazima wafike kidato cha 4. Wachezaji mpira wengi hawapendi au hawawezi shule.Haikuanza leo. Hivyo mpira ndio option bora ya maisha.
Sio Tanzania tu.
Kumbuka,Wasanii wengi bora ni kutoka familia duni na hasa single mothers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna mwanangu (mtoto wa Kaka) anafikisha miaka 17 mwezi wa kumi mwaka huu. Tatizo liko wapi hapa?
 
Back
Top Bottom