Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Usalama wa taifa upi unaouliza..unajua wakat mwingine kutaja vitu visivyoeleweka inafanya wengine kuona hata ulichoandika hukijui..Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi
Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni pamoja na risiti (ambayo huwa juu) na bei hii ni ya bila risiti (ambayo huwa chini).
Kwa utaratibu huu unadhani ni mteja yupi ata opt kununua kwa bei ya risiti? Kwa mfano unanunua vifaa vya milioni tano, halafu unaambiwa bila risiti unalipa milioni tano net lakini ukitaka na risiti una lipa milioni tano na laki tatu. Unadhani ni wateja wangapi wako tayari kununua risiti?
Nachojiuliza ni kwanini gharama za kodi ziletwe kwa mlaji wa mwisho? Pia, ni kweli huu utaratibi TRA hawaufahamu? Usalama wa Taifa hawajui? Kwanini wameruhusu nchi kuibiwa hivi?
Ni pesa kiasi gani serikali inapoteza kwa mfumo huu?
Watumishi wa umma na wafanyakazi wengine wanakatwa kodi moja kwa moja kwenye mshahara kupitia PAYE, lakini mtaani watakutana na tozo za taka, bili ya maji, bili za umeme n.k lakini huku wafanyabiashara wanaopata faida kubwa wana enjoy supernormal profit. Huu si unyanyasaji?
Kwanini serikali imewaachia hawa wafanyabiashara kufanya wanavyotaka halafu imewabana wafanyakazi?
Shida iko hivi, serikali imeweka utaratibu wa hizo VAT zilipwe kupitia utoaji wa risiti halafu mfanyabiashara ana fanya majadiliano na mnunuzi, serikali haina mechanism ya kufuatilia vitu inavyoanzisha kuona utekelezaji wake?Wangeweza wangeshusha VAT iwe mfano 10% afu sajili wafanyabiashara wote Tanzania wawe na VRN mauzo yote yawe na VAT.....hii ya kusema wenye mauzo makubwa peke yao ndo wawe na VAT haiko sawa
Usalama wa Taifa unahusika na kufuatilia mifumo ya mapato ya serikali au wewe unadhani kazi yao ni kulinda viongozi tu? Wanahusika pia kulilinda Taifa lisihujumiwe kiuchumi ndiomaana nimewatajaUsalama wa taifa upi unaouliza..unajua wakat mwingine kutaja vitu visivyoeleweka inafanya wengine kuona hata ulichoandika hukijui..
..haya piga na kengele wakusikie, lkn hao unaowataja hawapo lipo genge linatumia hilo jina kujinufaisha na hivyo hicho unachokisema hawawez kufanya..ni sawa na mwizi kukata mkono wake mwenyewe..Usalama wa Taifa unahusika na kufuatilia mifumo ya mapato ya serikali au wewe unadhani kazi yao ni kulinda viongozi tu? Wanahusika pia kulilinda Taifa lisihujumiwe kiuchumi ndiomaana nimewataja
Acha watu wakwepe tu izo Kodi Mimi siwezi kutoa Kodi yangu then ikaliwe na kuibiwa na mtu asieitolea jasho.Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi
Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni pamoja na risiti (ambayo huwa juu) na bei hii ni ya bila risiti (ambayo huwa chini).
Kwa utaratibu huu unadhani ni mteja yupi ata opt kununua kwa bei ya risiti? Kwa mfano unanunua vifaa vya milioni tano, halafu unaambiwa bila risiti unalipa milioni tano net lakini ukitaka na risiti una lipa milioni tano na laki tatu. Unadhani ni wateja wangapi wako tayari kununua risiti?
Nachojiuliza ni kwanini gharama za kodi ziletwe kwa mlaji wa mwisho? Pia, ni kweli huu utaratibi TRA hawaufahamu? Usalama wa Taifa hawajui? Kwanini wameruhusu nchi kuibiwa hivi?
Ni pesa kiasi gani serikali inapoteza kwa mfumo huu?
Watumishi wa umma na wafanyakazi wengine wanakatwa kodi moja kwa moja kwenye mshahara kupitia PAYE, lakini mtaani watakutana na tozo za taka, bili ya maji, bili za umeme n.k lakini huku wafanyabiashara wanaopata faida kubwa wana enjoy supernormal profit. Huu si unyanyasaji?
Kwanini serikali imewaachia hawa wafanyabiashara kufanya wanavyotaka halafu imewabana wafanyakazi?
Sababu hiyo ni kodi ambayo ipo kwenye bidhaa na huduma na ni indirect tax ambayo kila hatua ya mzunguko kutoka kwa mzalishaji mpaka kwa mtumiaji wa mwisho kuna 18% inachajiwa.Nachojiuliza ni kwanini gharama za kodi ziletwe kwa mlaji wa mwisho? Pia, ni kweli huu utaratibi TRA hawaufahamu? Usalama wa Taifa hawajui? Kwanini wameruhusu nchi kuibiwa hivi?
Yeye anajua VAT ni ya mfanya biashara....ahahaWewe unadhani gharama za kodi zinabebwa na nani kiongozi?
Wewe kwa fikra zako unadhani viongozi wetu hawa wanajua hata maana ya kodi kweli?Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi