Hapo unazungumzia Utamaduni (Culture)
Hakuna jamii ambayo haikuwa na Culture yake Duniani. HAKUNA
Kilichotokea ni Domination, yaani jamii moja iliyokuwa na Nguvu kudominate na jamii nyingine, hasa kama hiyo jamii yenye nguvu ilikuwa na nguvu ya kiichumi na kiteknolojia.
Kuna Faida nyingi na Hasara pia ya hii domination, kwa mfano tu:-
Binafsi naona European culture ilileta faida kubwa Africa kuliko Hasara. Utamaduni wa kizungu katika Imani iliambatana na Elimu (Formal Education), Ujenzi (Informal Edu), Afya na ujenzi wa zahanati kongwe na imara, kuzuia Ukeketaji tangu enzi (Genital Mutilation), Kusomesha watoto wa kike n.k
Hasara za Tamaduni za Kiafrika zilikuwa ni nyingi na hatari kwa mfano, Elimu hii ya formal (KKK) haikuwa muhimu, Ukeketaji ulikuwepo katika makabila almost yote, Mwanamke hakuonekana na Umuhimu zaidi ya kuolewa na kuzalishwa tu, Uuaji wa Albino ulikuwepo throughout Africa hasa Western Africa, ukatazwaji wa kula baadhi ya vyakula vyenye virutubisho muhimu kisa mila potofu.
Wapo ambao huwa wanaponda sana Western Culture na kujifanya kutetea Old African Culture lakini Western culture ndio imewafumbua macho na kuiona dunia kama ilivyo sasa.
Kwa mfano ukiulizwa tu
''Ngoma za Asili'' au ''Vigodoro'' na mambo ya kucheza na Nyoka vina umuhimu gani sasa??