mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Sio kweli kabisa ukisoma historia waafrika ndio binadamu wa kwanza kustaarabika.. Soma hiziMtoto wa Mchungaji sielewi.
Watu weusi tuache unafiki, Mizimu yetu ilitusaidia nini?Ndo utwana huo wa mtu mweusi kukataa mizimu yetu, kuletewa Mungu Mpya, kutumia lugha isiyo kilugha chetu, kuyatekeleza majina yetu ya asili na kujipachika ya wageni, kutupilia mbali hata mazuri ya mababu na bibi zetu, kuacha tambiko na ngoma za kutuliza mizuka n.k
Mtoto wa Mchungaji sielewi.
Nimeona, ila nimeona inasema dini zote zimeanzia mashariki ya kati, hili si kweli hata kidogo kuna dini hazimjui mtume Mwamedi wala Yesu kama Hindu na imani za Japani, Uchina na Asia na wamebarikiwa sana kama Korea Kaskazini hakuna Yesu, wala Mtume Mwamedi wala Mtume Paulo lakini anamtetemesha ninyi mnayemwita supa pawa.Sio kweli kabisa ukisoma historia waafrika ndio binadamu wa kwanza kustaarabika.. Soma hizi
Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?
kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokana na kutwezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari 1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati? Hapa ndio kama Mungu alipatambua kama uumbaji wake! Si kwamba hakukuwa na maisha mengine la hasha yalikuwepo! Soma habari za Lilith...www.jamiiforums.com
Ndugu kuna mambo huyajui na hivyo ndiyo walivyofanya hili usijue na hata ukielezwa utakataa.Hapo unazungumzia Utamaduni (Culture)
Hakuna jamii ambayo haikuwa na Culture yake Duniani. HAKUNA
Kilichotokea ni Domination, yaani jamii moja iliyokuwa na Nguvu kudominate na jamii nyingine, hasa kama hiyo jamii yenye nguvu ilikuwa na nguvu ya kiichumi na kiteknolojia.
Kuna Faida nyingi na Hasara pia ya hii domination, kwa mfano tu:-
Binafsi naona European culture ilileta faida kubwa Africa kuliko Hasara. Utamaduni wa kizungu katika Imani iliambatana na Elimu (Formal Education), Ujenzi (Informal Edu), Afya na ujenzi wa zahanati kongwe na imara, kuzuia Ukeketaji tangu enzi (Genital Mutilation), Kusomesha watoto wa kike n.k
Hasara za Tamaduni za Kiafrika zilikuwa ni nyingi na hatari kwa mfano, Elimu hii ya formal (KKK) haikuwa muhimu, Ukeketaji ulikuwepo katika makabila almost yote, Mwanamke hakuonekana na Umuhimu zaidi ya kuolewa na kuzalishwa tu, Uuaji wa Albino ulikuwepo throughout Africa hasa Western Africa, ukatazwaji wa kula baadhi ya vyakula vyenye virutubisho muhimu kisa mila potofu.
Wapo ambao huwa wanaponda sana Western Culture na kujifanya kutetea Old African Culture lakini Western culture ndio imewafumbua macho na kuiona dunia kama ilivyo sasa.
Kwa mfano ukiulizwa tu
''Ngoma za Asili'' au ''Vigodoro'' na mambo ya kucheza na Nyoka vina umuhimu gani sasa??
Mimi nimeshataja hapo, niambie ni tamaduni gani nzuri aliyokuwa nayo Mwafrika ambayo ingetusaidia mpaka sasa.Ndugu kuna mambo huyajui na hivyo ndiyo walivyofanya hili usijue na hata ukielezwa utakataa.
Sasa kwa taarifa yako hakuna kitu chochote ambacho walikileta wazungu kwetu ni kizuri hakuna labda katika short run inawezekana kilionekana kama kizuri lakini nia zao ni hovu tangia mwanzo.
Angalia ubaya wa vitu vyao kwetu alafu linganisha na hivyo ulivyosema: Utumwa, Ukoloni, Imperialisimu, Ubepali, Industrialization, Democrasia, Elimu. unavielewa hivi vitu kiundani?
Binafsi naona European culture ilileta faida kubwa Africa kuliko Hasara. Utamaduni wa kizungu katika Imani iliambatana na Elimu (Formal Education), Ujenzi (Informal Edu), Afya na ujenzi wa zahanati kongwe na imara, kuzuia Ukeketaji tangu enzi (Genital Mutilation), Kusomesha watoto wa kike n.k
Hasara za Tamaduni za Kiafrika zilikuwa ni nyingi na hatari kwa mfano, Elimu hii ya formal (KKK) haikuwa muhimu, Ukeketaji ulikuwepo katika makabila almost yote, Mwanamke hakuonekana na Umuhimu zaidi ya kuolewa na kuzalishwa tu, Uuaji wa Albino ulikuwepo throughout Africa hasa Western Africa, ukatazwaji wa kula baadhi ya vyakula vyenye virutubisho muhimu kisa mila potofu.
Mtu Mweusi kadri anavyoongeza elimu ndivyo anavyodhidi kuikataa asili yake.....Watu kadri wanavyopata elimu ndio wanazidi kuzipenda asili yao.......
Kuna tatizo kubwa katika mfumo wetu wa elimu barani Africa...
Ludha ni ninikuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani.
Dini tulikuwa nazo mkuu,Ila hii dunia mengi tumelishwa na kufundishwa ni uongo mtupu.50% ya ukweli kuhusu hii dunia yamefichwa kwa kusudi maalum.hivi unajua waisrael halisi sio wazungu,yaani sio ngozi nyeupe!?Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani. Yaani vyote vilikuwa vya kishenzi.
Mtoto wa Mchungaji sielewi.
mkuu kwa hiyo waisraeli ni watu gani mkuu?Dini tulikuwa nazo mkuu,Ila hii dunia mengi tumelishwa na kufundishwa ni uongo mtupu.50% ya ukweli kuhusu hii dunia yamefichwa kwa kusudi maalum.hivi unajua waisrael halisi sio wazungu,yaani sio ngozi nyeupe!?
Hakuna uchawi wowote waliokuwa nao, ni Imani tu kama ilivyokuwa Imani ya kupigwa risasi na kusema maji wakiaminishwa kuwa risasi itageuka kuwa maji.Watetezi wa wazungu,warabu na mababu nani atageuka mshindi?
Wazungu bwana walivunja mpaka pua za vinyago/sanamu za mafarao kupoteza ushahidi wa pua za kibantu kisha wakasema mapiramidi walijenga wao huku huko kwao hakuna cha pyramidi wala masanamu ya kale yanayothibitisha kweli walijennga misri.
Kumbuka kabla ya kuja wazungu huko Afrika magharibi kulikuwa na mataifa majubwa ya kale.
Kayika vitu vyote huwa najiuliza babu zetu nani aliwafundisha uchawi, nani aliwafundisha madawa ya kujitibu,ni njia gani walitumia je sisi tunafeli wapi?
Wazungu hawawashindi babu zetu kuijua miti.
Wanaotetea elimu ya wazungu nini kinawafanya mshindwe kuunda sinda ya kuchoma dawa, sindano lungu, pen, Penseli, Acha ya mambo makubwa makubwa kama ndege kama kweli wazungu wamewaelimisha mnakwama wapi?