Hivi ni kweli Tanzania kulikuwa na msanii mmoja tu wa maigizo?

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Habari zenu wana jamvi? Ni miaka minne sasa tangu kuondokewa kwa nguli wra filamu Tanzania ndugu Steven Kanumba, lakini katika tasnia hii tangu kuondoka kwake sijaona maendeleo yoyote kwenye tasnia hii zaidi ya wasanii wa filamu kuhamia kwenye mziki kama vile shilole na Snura ,sasa swali ni hivi je Tanzania kulikuwa na msanii wa maigizo ambaye ni Kanumba pekee.
 
hilo ndo jibu.
 
huyu jamaa alikua anajua nini anafanya sio hawa waliobaki kazi yao ni kuendekeza majungu,skendo hamna kitu wanachofanya rip kanumba
 
Huyu ndugu, nakumbuka interview yake moja aliyoifanya baada ya kutoka kutembelea jumba la Big Brother south africa, alilalamika sana namna watanzania walivyokua wakimkejeli kutokana na kukosea kwake kuongea lugha ya kingereza. Jamaa alilalamika kwamba watanzania badala ya kumpa support kwa kazi nzuri aliyokua akiifanya ya kukuza sanaa na jina la nchi, ndio kwanza wanamkatisha tamaa kwa kuendekeza tamaa, akamalizia kwa kusema kwamba " Kama watu hawaoni jitihada anazozifanya, ipo siku miti na mawe vitazungumzia kazi alizokua akizifanya" Ni kweli alijitahidi sana.
 
Mgombea furani wa uraisi alisema akiwa Rais kipaumbele chake ni elimu, elimu, elimu

Unafikilia kwanini kanumba aliweza tusua vidato sita akivyopitia haikuwa magumashi ilimjenga kielimu kweli

Hakuwa muoga wa kuthubutu Hakuwa muoga wa hadhira wala kukosolewa hiyo ndio sifa moja wapo ya mtu aliyepitia darasani na elimu ikamkomboa

Sasa kwa unachouliza nazani jibu umepata wasanii wa sasa waoga kujaribu waoga kukosea waoga kukosolewa

Mfano unamuona shilole na broken English yake wenzake wanaojifanya wanajua kingereza na kumcheka mwisho wa Siku watasema shikamo shilole sababu shilole atakuwa mzuri katika lugha na atakuwa anajiamini sababu anachofanya shilole sasa ndio sifa moja wapo ya mtu anayejifunza lugha ya Pili kuwa ongea kosolewa usisite ongea mwisho wa Siku atatambua makosa nakuwa mzuri katika lugha zaidi ya kina wema sepetu
 
Sanaa Tanzania ni danguro na genge la wahuni ukitaka dada yako kila siku akatwe mruhusu tu kuigiza
Na ushahidi mzuri tu yule babu Jengua anawakata watoto wadogo tu.
 
soko la filamu limedorola hata Nigeria,wapi Ramsey Noah.

NOTE. bongomovie nlikuwa mshabiki wa Senga
 
Najiuliza kama kumewahi kuandikwa thread ya kumsifia akiwa bado hai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…