brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Habari zenu wana jamvi? Ni miaka minne sasa tangu kuondokewa kwa nguli wra filamu Tanzania ndugu Steven Kanumba, lakini katika tasnia hii tangu kuondoka kwake sijaona maendeleo yoyote kwenye tasnia hii zaidi ya wasanii wa filamu kuhamia kwenye mziki kama vile shilole na Snura ,sasa swali ni hivi je Tanzania kulikuwa na msanii wa maigizo ambaye ni Kanumba pekee.