Hivi ni kweli ubahili unaweza kumfanya mtu awe tajiri?

Hivi ni kweli ubahili unaweza kumfanya mtu awe tajiri?

Ubahili na uhusisha na utunzaji fedha yani saving.Uwez kufanikiwa kutokea chini kama hutakua mbahili yani hutakua unasave na unachokisave una ki re invest...that is the principle Saving=Investment.
 
Ili matumizi yasizidi mapato unatakiwa uwe bahili.

uwe bahili kwenye masuala ya kipuuzi. starehe za kipimbi uzitenge, kuhonga, kucheza kamari, kujirusha kila weekend na upuuzi mwingine wote
 
kuwa bahili sidhani kama utaweza kutajirika... ukitaka kutajirika principle ni moja tu.. matumizi yasifikie/yasizidi nusu ya mapato.. na wengi tunafeli hapa kwenye matumizi

huo ndio ubahili wenyewe ndugu, ukiwa bahili haimaanishi kua hutumii pesa kabisa ila unaondoa matumiz yasiyo ya lazima, i guess it works
 
Saving ambayo ina aim ku acquire assets that generate money ndo principle ya utajiri. Akiwa anatoa toa hizo mia tano inaa maanzna anaongeza matumizi yasiyo ya lazima kwenye bajeti yake wakati kishajiwekea bajeti inayomuwezesha kuishi comfortably wakati akiendelea kuwekeza. Huyo jamaa kama anawekeza pesa yake basi anakili kuliko wewe unayemshangaa na time will tell.
 
Siri ya utajiri kwangu mimi naamini ni utajiri. Nalipwa 650000 kwa mwezi natumia elfu 50 vocha n.k. nakula home nakula kazini natumia usafiri wa bure sina mke sina mtoto sina mademu wapigaji. Kwanini nisisave hela yangu ???? Vijana wengi nawajua wanalipwa karibu milioni ila mtu hawezi kusave hata 200000 kwa mwezi. Akipata hela ni matanuzi. Na kwa saving hiyo nimenunua kiwanja namwezi huu naanza kupeleka materials ya ujenzi. Vijana wenzangu nawazee wanaokaribia miaka 50 nawengi walioajiriwa saving ndo kila kitu kama mshahara wako unaishia kwenye usafiri na kula na outings sahau hata kujenga. Utaishia kupanga na mwisho wa siku watoto hawasomi unaanza kuja kuwasumbua baadae wakiwa wanahangaika. Kama biashara imekua ngumu kufanya hakikisha unafanya saving. Very important period. Kwa wale wa kutokwa mapovu na wala mirungi na pombe hii comment haiwahusu pita left

Hivi wanaongelea kujenga au kuwa Tajiri? Maana unachoongelea wewe ni kujenga. Halafu hayo matumizi yako unafanya kazi kwenye meli labda unakuwa baharini tu au mwanajeshi uko kambini
 
kama anamalengo ubahili wake utamtajirisha ... ila pesa si iliyopo mfukoni au bank? pesa ipo kwenye mzunguko inazalisha that is what we call money .. sasa kama anakusanyia bank tu aisee ataota ndoto za kuwa tajiri....

pesa huonekana pale tunapoona jamaa anafanya jambo la maana what he have ?

Umeongea point
 
ubahiri hauweza kukutajirisha sana sana uta deteriorate quality ya maisha

unakuta instead ya kula chakula standard cha tsh 10,000 unaenda kula ubandani kwa buku 2

instead uvae ngo standard sababu ya ubahili unaenda vaa nguo made in mbagala

siri ya kua tajari ni kutafuta njia za kuongeza kipato every now and then

pia na kuwa na good financial control

NB financial control sio sawa na ubahili
 
Utajjiri ni baraka
jifunze kukaribiha baraka utakuwa tajiri so fast

1.kuwa muaminifu na mali za watu na pesa za watu

2.aminika kwa unayo ongea keep promise ukisema saa kumi nakuja .saa kumi ufike

3.kubali kukosa kisicho chako

4.kama unauza bidhaa au unatoa huduma..commit to quality

5.avoid ubabaishaji wowote..

6.jali watu wanao kufanyia kazi

7.heshimu sana loyalty..

8.build relationships na wadau

9.avoid making unnecessary noise..let your business talk

10. never forgets who helped you reach there

mkuu umemaliza kila kitu "shikamoo"
 
huo ndio ubahili wenyewe ndugu, ukiwa bahili haimaanishi kua hutumii pesa kabisa ila unaondoa matumiz yasiyo ya lazima, i guess it works

mahitaji ya lazima kwa mwanadamu ni nguo, malazi na mavazi mtu bahili anajibana hadi kwenye mahitaji muhimu ila hayo matumizi mengine siyo lazima na usipotumia huwi bahili na ukiyaendekeza unakua mshamba.. (mtazamo wangu)
 
Habarini wadau,

Nina ndugu yangu mmoja ana malengo ya kutajirika kufikia levels za akina Manji, Mengi, Bakhressa etc ni mbahili kiasi cha kwamba amejibana mpaka kanunua used scania moja tu ya kubebea mizigo kwa Tsh. million 150, na bado anaendelea kujibana, yani Huyo jamaa kutoa Tsh.500 hivi kwa kweli ni mtihani...Je kwa approach hiyo ya ubahili, anaweza fikia malengo kweli?

Kuna uhusiano gani kati ya MTU kuwa bahili na kufanikiwa kifedha?
Warren Edward Buffett (/ˈbʌfɨt/; born August 30, 1930) is an American business magnate, investor and philanthropist. He was the most successful investor of the 20th century. Buffett is the chairman, CEO and largest shareholder of Berkshire Hathaway,[SUP][4][/SUP] and consistently ranked among the world's wealthiest people. He was ranked as the world's wealthiest person in 2008[SUP][5][/SUP] and as the third wealthiest in 2011.[SUP][6][/SUP] In 2012 Time named Buffett one of the world's most influential people.[SUP][7][/SUP]
Buffett is called the "Wizard of Omaha" or "Oracle of Omaha",[SUP][8][/SUP] or the "Sage of Omaha"[SUP][9][/SUP] and is noted for his adherence to value investing and for his personal frugality despite his immense wealth
A%20S-baby.gif
 
Utajjiri ni baraka
jifunze kukaribiha baraka utakuwa tajiri so fast

1.kuwa muaminifu na mali za watu na pesa za watu

2.aminika kwa unayo ongea keep promise ukisema saa kumi nakuja .saa kumi ufike

3.kubali kukosa kisicho chako

4.kama unauza bidhaa au unatoa huduma..commit to quality

5.avoid ubabaishaji wowote..

6.jali watu wanao kufanyia kazi

7.heshimu sana loyalty..

8.build relationships na wadau

9.avoid making unnecessary noise..let your business talk

10. never forgets who helped you reach there

Nimebarikiwa sana na post yako....
 
Siri y a kua tajiri ni kuwa mtoaji tu. ila kwa hekima na busara. sio unatoa mshahara wako wote no, kuna wakati unakitu na kuna mtu anauhitaji muhimu sana anakuja kwako unakua mgumu sana, zen unaenda kuchezea hela tu. sio vyema sana.
 
Hivi wanaongelea kujenga au kuwa Tajiri? Maana unachoongelea wewe ni kujenga. Halafu hayo matumizi yako unafanya kazi kwenye meli labda unakuwa baharini tu au mwanajeshi uko kambini

aiseee hata me nmemshangaa.yaan matumizi yake tsh50000 kwa mwezi!!!yaaan nmetafakari naona kama jamaa kaja kujifagilia tu hyu.alafu kaenda nje ya swali la mtoa mada kbisa.dahhh jamaa atakua na damu kali sana ya kipare nachaga huyu na uhaya uhaya kwa mbaaliii ivi
 
Habarini wadau,

Nina ndugu yangu mmoja ana malengo ya kutajirika kufikia levels za akina Manji, Mengi, Bakhressa etc ni mbahili kiasi cha kwamba amejibana mpaka kanunua used scania moja tu ya kubebea mizigo kwa Tsh. million 150, na bado anaendelea kujibana, yani Huyo jamaa kutoa Tsh.500 hivi kwa kweli ni mtihani...Je kwa approach hiyo ya ubahili, anaweza fikia malengo kweli?

Kuna uhusiano gani kati ya MTU kuwa bahili na kufanikiwa kifedha?

Ubahili umefanya anunue scania, mpaka hapo huoni kama tayari ni tajiri au anaunyemelea utajiri. Mungu amsaidie aongeze abane matumizi yake ya hela ili afanye mambo makubwa zaidi na zaidi. Bila shaka huyu naona atakuja kuwa tajiri mkubwa
 
Ubahili is a relative term, wakati wewe unaona mbahili yeye anaona yuko sawa kulingana na kipato na malengo yake. Kwaiyo mtu mnaweza kuwa na family size sawa, mshahara sawa lakini msiwe na matumizi yanayofanana kabisa kutokana na kila mtu kuwa na malengo tofauti. Ujanani nilikuwa sina malengo muhimu kila hela iliyobakia kwenye mshahara nilinunua aidha pete, hereni au mkufu wa gold. Nilipoanza family nikaona maisha ya kupanga nikaweka malengo ya kujenga..... Kwaiyo matumizi ya mtu yanategemea malengo yake yawe ya muda mfupi au mrefu. Ukiwachunguza watu wenye nazo utaona jinsi walivyowaangalifu na hela.... Usitegemee pochi yake iwe hata na 500 isyopangiwa bajeti mpelekee bidhaa atakuambia hadi kesho akichukua nyumbani au bank. Tatizo waswahili hatuna bajeti, hatuna malengo au tuna yale ya kesho tu, hatuna kutafakari kama kitu tunachonunua au hela unayotumia ni sahihi, saa zote tuna hela kwenye pochi. Kila bidhaa ikiletwa nyumbani, ofisini tunanunua tu hata kama haiko kwenye bajeti hela si ipo bwana! Tubadilike
 
Mtu mbahili sidhani kama itakufanya utajirike ukiwa mbahili kwenye kutoa utakuwa mvivu hata kufikiri....kwa kufanikiwa unatakiwa ujitoe wewe frika yako na kipesa ili uone faida baadae n utajirike pia kama
Matajiri wengine
 
Back
Top Bottom