issachambo
Member
- Mar 6, 2015
- 6
- 0
Ubahili na uhusisha na utunzaji fedha yani saving.Uwez kufanikiwa kutokea chini kama hutakua mbahili yani hutakua unasave na unachokisave una ki re invest...that is the principle Saving=Investment.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili matumizi yasizidi mapato unatakiwa uwe bahili.
kuwa bahili sidhani kama utaweza kutajirika... ukitaka kutajirika principle ni moja tu.. matumizi yasifikie/yasizidi nusu ya mapato.. na wengi tunafeli hapa kwenye matumizi
Siri ya utajiri kwangu mimi naamini ni utajiri. Nalipwa 650000 kwa mwezi natumia elfu 50 vocha n.k. nakula home nakula kazini natumia usafiri wa bure sina mke sina mtoto sina mademu wapigaji. Kwanini nisisave hela yangu ???? Vijana wengi nawajua wanalipwa karibu milioni ila mtu hawezi kusave hata 200000 kwa mwezi. Akipata hela ni matanuzi. Na kwa saving hiyo nimenunua kiwanja namwezi huu naanza kupeleka materials ya ujenzi. Vijana wenzangu nawazee wanaokaribia miaka 50 nawengi walioajiriwa saving ndo kila kitu kama mshahara wako unaishia kwenye usafiri na kula na outings sahau hata kujenga. Utaishia kupanga na mwisho wa siku watoto hawasomi unaanza kuja kuwasumbua baadae wakiwa wanahangaika. Kama biashara imekua ngumu kufanya hakikisha unafanya saving. Very important period. Kwa wale wa kutokwa mapovu na wala mirungi na pombe hii comment haiwahusu pita left
kama anamalengo ubahili wake utamtajirisha ... ila pesa si iliyopo mfukoni au bank? pesa ipo kwenye mzunguko inazalisha that is what we call money .. sasa kama anakusanyia bank tu aisee ataota ndoto za kuwa tajiri....
pesa huonekana pale tunapoona jamaa anafanya jambo la maana what he have ?
Umeongea point
Utajjiri ni baraka
jifunze kukaribiha baraka utakuwa tajiri so fast
1.kuwa muaminifu na mali za watu na pesa za watu
2.aminika kwa unayo ongea keep promise ukisema saa kumi nakuja .saa kumi ufike
3.kubali kukosa kisicho chako
4.kama unauza bidhaa au unatoa huduma..commit to quality
5.avoid ubabaishaji wowote..
6.jali watu wanao kufanyia kazi
7.heshimu sana loyalty..
8.build relationships na wadau
9.avoid making unnecessary noise..let your business talk
10. never forgets who helped you reach there
Noted. Nitaanza lasimi principle ya saving na ubahili huende vikaniokoa
huo ndio ubahili wenyewe ndugu, ukiwa bahili haimaanishi kua hutumii pesa kabisa ila unaondoa matumiz yasiyo ya lazima, i guess it works
Warren Edward Buffett (/ˈbʌfɨt/; born August 30, 1930) is an American business magnate, investor and philanthropist. He was the most successful investor of the 20th century. Buffett is the chairman, CEO and largest shareholder of Berkshire Hathaway,[SUP][4][/SUP] and consistently ranked among the world's wealthiest people. He was ranked as the world's wealthiest person in 2008[SUP][5][/SUP] and as the third wealthiest in 2011.[SUP][6][/SUP] In 2012 Time named Buffett one of the world's most influential people.[SUP][7][/SUP]Habarini wadau,
Nina ndugu yangu mmoja ana malengo ya kutajirika kufikia levels za akina Manji, Mengi, Bakhressa etc ni mbahili kiasi cha kwamba amejibana mpaka kanunua used scania moja tu ya kubebea mizigo kwa Tsh. million 150, na bado anaendelea kujibana, yani Huyo jamaa kutoa Tsh.500 hivi kwa kweli ni mtihani...Je kwa approach hiyo ya ubahili, anaweza fikia malengo kweli?
Kuna uhusiano gani kati ya MTU kuwa bahili na kufanikiwa kifedha?
Utajjiri ni baraka
jifunze kukaribiha baraka utakuwa tajiri so fast
1.kuwa muaminifu na mali za watu na pesa za watu
2.aminika kwa unayo ongea keep promise ukisema saa kumi nakuja .saa kumi ufike
3.kubali kukosa kisicho chako
4.kama unauza bidhaa au unatoa huduma..commit to quality
5.avoid ubabaishaji wowote..
6.jali watu wanao kufanyia kazi
7.heshimu sana loyalty..
8.build relationships na wadau
9.avoid making unnecessary noise..let your business talk
10. never forgets who helped you reach there
Hivi wanaongelea kujenga au kuwa Tajiri? Maana unachoongelea wewe ni kujenga. Halafu hayo matumizi yako unafanya kazi kwenye meli labda unakuwa baharini tu au mwanajeshi uko kambini
Habarini wadau,