Ugonjwa bandia kivipi?UKIMWI NI UGONJWA BANDIA KWA AJILI YA PROJECTS ZA WATU.
MNATAKIWA KUELEWA HILO KUANZIA SASA.
Wadau naomba kuuliza hivi Freemasons na Illuminati huwa wanapata kweli maambukizi ya h.i.v postive au ni kwa raia wa kawaida tu?Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu.
Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na akaweza kusurvive ?
How?
Nimewahi kujiuliza ni kwa nini watu wanaanza kukonda na kufa baada tu ya kupima na kupewa majibu? Lakini mtu asipopima anadunda tu.WEWE USIYEJUA HATA TOFAUTI KATI YA UKIMWI NA VVU UNATAKA KUJITIA UJUAJI?
UNAFIKIRI HIZO NOTES ZAKO UCHWARA ZA SAYANSI ULIZOKARIRISHWA KWENYE MASHULE YA KATA ZINAWEZA KUFUA DAFU MBELE YA UJASUSI ULIO NYUMA YA ARVS?
ACHA KUSHIRIKI HII GENOCIDE. KAMA UNATAKA KUJIPATIA UJIKO KWAMBA WEWE NI MSOMI, TAFUTA MAHALI PENGINE, LAKINI SIO KWENYE UHAI WA WATU.
Cheti cha kifo kiliandikwa kafa kwa ukimwi?wameanza mda kufa , ila tunazungumzia watu wanakufa kwa ukimwi wapo wengi tu , na wanao puuzia kutumia ARVs
Manii haibebi kirusi??Kuna program inaitwa PMTCT( prevention to mother and child transmission).
Mama akipima afya akiwa na maambukuzi ya HIV ataanzishiwa dawa, au atakuwa ameshaanza kutumia dawa kupitia CTC.
Kumbuka maambukuzi ya mtoto hutokea akiwa tumboni( kabla mtoto kuzaliwa wakati wa mimba), pia hutokea wakati wa kujifungua na kunyonyesha.
Dawa za ARV zikitumiwa kwa usahihi na wakati muafaka husaidia kufubaza virusi, kupunguza viral load na kuongeza kinga ya mwili.
Pia wakati kichanga kinazaliwa kinapewa dawa za ARV na dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi.
Jitihada zote hizo zikifanyika mtoto atazaliwa bila na maambukizi.
Mpaka umri huo hujui Kinga za Mwili hushuka kwa sababu gani??? [emoji15]Basi Kuna ugonjwa halisi ambao inasababisha upungufu wa Kinga mwilini ila umefichwa au