Hivi ni Kweli waathirika wa ukimwi wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na Mtoto huyo akakua vizuri

Hivi ni Kweli waathirika wa ukimwi wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na Mtoto huyo akakua vizuri

Kuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu.

Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na akaweza kusurvive ?

How?
Wadau naomba kuuliza hivi Freemasons na Illuminati huwa wanapata kweli maambukizi ya h.i.v postive au ni kwa raia wa kawaida tu?
 
WEWE USIYEJUA HATA TOFAUTI KATI YA UKIMWI NA VVU UNATAKA KUJITIA UJUAJI?

UNAFIKIRI HIZO NOTES ZAKO UCHWARA ZA SAYANSI ULIZOKARIRISHWA KWENYE MASHULE YA KATA ZINAWEZA KUFUA DAFU MBELE YA UJASUSI ULIO NYUMA YA ARVS?

ACHA KUSHIRIKI HII GENOCIDE. KAMA UNATAKA KUJIPATIA UJIKO KWAMBA WEWE NI MSOMI, TAFUTA MAHALI PENGINE, LAKINI SIO KWENYE UHAI WA WATU.
Nimewahi kujiuliza ni kwa nini watu wanaanza kukonda na kufa baada tu ya kupima na kupewa majibu? Lakini mtu asipopima anadunda tu.
 
Kuna program inaitwa PMTCT( prevention to mother and child transmission).

Mama akipima afya akiwa na maambukuzi ya HIV ataanzishiwa dawa, au atakuwa ameshaanza kutumia dawa kupitia CTC.

Kumbuka maambukuzi ya mtoto hutokea akiwa tumboni( kabla mtoto kuzaliwa wakati wa mimba), pia hutokea wakati wa kujifungua na kunyonyesha.

Dawa za ARV zikitumiwa kwa usahihi na wakati muafaka husaidia kufubaza virusi, kupunguza viral load na kuongeza kinga ya mwili.

Pia wakati kichanga kinazaliwa kinapewa dawa za ARV na dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi.

Jitihada zote hizo zikifanyika mtoto atazaliwa bila na maambukizi.
Manii haibebi kirusi??
kama Baba ana HIV inakuaje hapo Mtoto azaliwe bila HIV??
 
Basi Kuna ugonjwa halisi ambao inasababisha upungufu wa Kinga mwilini ila umefichwa au
Mpaka umri huo hujui Kinga za Mwili hushuka kwa sababu gani??? [emoji15]
-Stress ndio maana mtu akiambiwa ana VVU aanza kukonda na kuumwa

-Lishe duni hupati mlo kamili washindia mihogo na dona kwa kachumbari, matunda na mboga mboga kwako mwiko, nyama haramu, wategemea nini

- Utumiaji wa Madawa Makali kwa muda mrefu hayo ma Arv ndio sumu kubwa, madawa ya presha, sukari, kansa, n.k

Hakuna mtu amewahi kufa kwa HIV ila TB, KANSA, SUKARI, PRESHA, MOYO, MALARIA, KICHWA, INI, n.k
 
Back
Top Bottom