Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

Hawa lolote zaidi zaidi wa ambie kugongana tu wana ongoza

Wana kitu tunaita mtandao wa mapenzi bac
 
Nina hamu na series kali ya kibongo itakayohit kama "jumong"au Gangar...
Igusie Bantu life....yaani maisha karibu na uhalisia.
Mtoto wa leo alone Bibi wa jana alivyoishi.
 
Mimi huwa najisikia vibaya sana kuwaona watu wakikimbilia kuangalia season za nje zilizofasiriwa kwa Kiswahili cha kubumba wakati tuna wasanii lukuki wanaoweza kuipaisha sanaa yetu na sisi tukauza...
natamani tupate "Jumong" ya Kitanzania...
3021
 
Back
Top Bottom