kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Umeongea kweri tupuTatizo ni moja, wanawake mkishaachana wanatia chuki mbaya kwa watoto, Kuna siku niligindua hili hivyo nikarudi kwa Mzee Kama kawa, hata nikashangaa yaani kumsogelea tu , kila kitu akanisaidia shule, gharama za chuo, mpaka leo tuko close Sana, simu nikilishwa mapema but NASHUKURU God alinifumbua kwamba so kila Mara wazee hawatupendi but lipo lingine nyuma ya yote