Dr Luu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 489
- 386
People suffer coz hawajui wasichokijua!! Africans we lost the control, tumegeuka wateja wa bidha za mataifa ya magharb, u name it. Hatu produce vya kwetu vya asili { economy begin with production } hivyo Wana monetize Kila kitu hata afya pia, Sasa hata tukitaka kupika tutashindwa maana wameanza kugusa kuni na mkaa wakitubana vizuri na gesi baadae gesi ikipanda bei tutalazimika kula fast foods {upcoming disaster}Uenda ikawa kwa usemacho,,lkn bado kuna logic kwa kile kinachoelezewa hapo na ukitaka kujua vyema ni mpaka we mwenyewe upate hayo maradhi au nduguyo wa karibu ndo utaelewa,people they suffer a lot!!!