Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmemeza biblia na korani kama tembe za virutubisho wakati history na utu wenu imefutika kabisaAsante ndugu
Matokeo yake mnakumbuka babu na Bibi za wayahudi na kusahau history yenu...mnakumbuka ngano za Musa na yakobo na yusufu mnasahau malkia nzinga mbadi...mkwawa na machemba...mnafikria pepo na kuogopa jehanamu Myahudi kawadanganyeni....tafuta kopi ya kitabu Cha talmudi ndugu
Na kwa taarifa zenu ninaishi Israeli hapa..na Hawa wayahudi wanakuchekeni tu vile wamekudanganyeniAsante ndugu
Matokeo yake mnakumbuka babu na Bibi za wayahudi na kusahau history yenu...mnakumbuka ngano za Musa na yakobo na yusufu mnasahau malkia nzinga mbadi...mkwawa na machemba...mnafikria pepo na kuogopa jehanamu Myahudi kawadanganyeni....tafuta kopi ya kitabu Cha talmudi ndugu
Huwezi kuifufua history kwenye maneno ya chuki kama hizi!!!!Mmemeza biblia na korani kama tembe za virutubisho wakati history na utu wenu imefutika kabisa
Acha kudanganya watu wewe huishi Israel,eti wanakuchekeni!!!!! baada ya kuishi huko na wewe unajiona tofauti na sisi????acha ushamba wa kutumiwa na watu wenye chuki na wayahudi vita hiyo wewe huiwezi!!!Na kwa taarifa zenu ninaishi Israeli hapa..na Hawa wayahudi wanakuchekeni tu vile wamekudanganyeni
Si unajidai unaishi Israel!! wewe ndiye hujitambui kwa nini usitoke huko ukaenda kwenye nchi za kiarabu???Myahudi anakuita we mbwa we waona heri tu....simama okota utu wako.stand up for your dignity
Dhibitisha kuwa wewe wanakuita mbwa!!!!!Myahudi anakuita we mbwa we waona heri tu....simama okota utu wako.stand up for your dignity
Nikafanye Nini Arabia nimeshatoka huko kitambo mi najifunza...tuelimishane lete hoja....unakumbuka shamba la wanyama? George Orwell? wanyama ndio sisi binadamu myahudi..soma kitabu Cha matendo Petro aliambiwa na malaika asidharau mijusi na nyoka aliopewa ale wakiwakilisha sisi mataifa..Mungu wa wayahudi anafananisha wasiowayahudi na wanyama Mimi na wewe wanyama mbele za myahudiSi unajidai unaishi Israel!! wewe ndiye hujitambui kwa nini usitoke huko ukaenda kwenye nchi za kiarabu???
Usitoroke mada....ninakoishi sio madaAcha kudanganya watu wewe huishi Israel,eti wanakuchekeni!!!!! baada ya kuishi huko na wewe unajiona tofauti na sisi????acha ushamba wa kutumiwa na watu wenye chuki na wayahudi vita hiyo wewe huiwezi!!!
Kila mbwa atatetea bwana wakeAcha kudanganya watu wewe huishi Israel,eti wanakuchekeni!!!!! baada ya kuishi huko na wewe unajiona tofauti na sisi????acha ushamba wa kutumiwa na watu wenye chuki na wayahudi vita hiyo wewe huiwezi!!!
Ni kweli kila mbwa anatetea bwana wake!!!!lakini ujinga kama huo peleka huko huko!!!!Kila mbwa atatetea bwana wake
Ungekuwa unaishi huko Israel usingekuwa na ujinga huo!!!!Usitoroke mada....ninakoishi sio mada
Ukishaona matusi Fantasia ujuwe hakuna hoja tena hapo, anachotaka mchangiaji ni kukunyamizisha kwa matusi sababu hana uwezo wa kutumia nguvu ya hoja, uzuzu uliokubuhu, ila mwenyewe hajuwi!.Asante tusitukane ndugu....historia ya dini ni kongwe kuliko unavyosema ujudaism uislamu na ukristo ni dini changa tu...
Nchi takatifu...we myahudi unamjua? Fuatilia nani mabilionea wa mitandao ya ngono...Tena ngono hadi na vichanga Kisha wanaviua....myahudi we unamjua?Ungekuwa unaishi huko Israel usingekuwa na ujinga huo!!!!
Hiyo ni tafsiri yako tu wewe ambaye chuki imekujaa mpaka unapotosha maneno ya Biblia!!!Nikafanye Nini Arabia nimeshatoka huko kitambo mi najifunza...tuelimishane lete hoja....unakumbuka shamba la wanyama? George Orwell? wanyama ndio sisi binadamu myahudi..soma kitabu Cha matendo Petro aliambiwa na malaika asidharau mijusi na nyoka aliopewa ale wakiwakilisha sisi mataifa..Mungu wa wayahudi anafananisha wasiowayahudi na wanyama Mimi na wewe wanyama mbele za myahudi
Maneno ya vijiweni hayo lete udhibitisho,siyo kulalama ovyo mara mapandikizi mara matajiri sana hayo ni maneno ya mkosaji ndiyo maana sisi waafrika hatuendelea sababu ya akili kama zako zilizojaa chuki!!!Nchi takatifu...we myahudi unamjua? Fuatilia nani mabilionea wa mitandao ya ngono...Tena ngono hadi na vichanga Kisha wanaviua....myahudi we unamjua?
Au unamskia? Unaangalia mikanda ya ngono habari yake unaijua? Boko Haram nipandikizi la vikundi vya ujasusi vya Israeli na marekani
Hapa hakuna unachoelimisha bali unapandikiza chuki ambazo hazitamsaidia mtu yoyote!!!Asante ndugu.......tunajarib kuelimishana hapa watu wanaleta masihara