Hivi ni kweli Wema ameshindwa kurudisha Account yake ya Instagram

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651

Beautiful onyinye wa bongo kama wanavyo muita watu. Miss Tanzania Wema Sepetu aka sepetunga ni kwamba ameshindwa kurudisha account yake ya Instagram ambayo inasaidika imekuwa hacked (Kudukuliwa).

Ni kwamba amekosa watalamu au ameitelekeza .
 
Hiyo account siyo hacked, huwezi ku hack account halafu unaitumia kutangaza biashara mpaka namba za simu unatoa.
 
Wewe ni "me "au "ke"?
 
A'/c anayo mwenyewe vyuma tuu.. !!! Matangazo naona mpaka mwezi wa sita alivyosema to save date [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…