Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usituwekee maneno mdomoni muda tunao kuna thread moja inasema haijawa hacked yeye mwenyewe alithibitisha!hatuna muda wa kumzungumzia huyo unatupotezea muda
Usituwekee maneno mdomoni muda tunao kuna thread moja inasema haijawa hacked yeye mwenyewe alithibitisha!
Bikira LatifaHaijawa hacked jomon[emoji23]
Wewe ni "me "au "ke"?![]()
Beautiful onyinye wa bongo kama wanavyo muita watu. Miss Tanzania Wema Sepetu aka sepetunga ni kwamba ameshindwa kurudisha account yake ya Instagram ambayo inasaidika imekuwa hacked (Kudukuliwa).
![]()
Ni kwamba amekosa watalamu au ameitelekeza .
Ninayo kama sina hela ya kuingia humu imetoka wapi?huna kazi