chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Si wamemuacha sakho tayari?Bangala ANAMKATABA WA Mwaka mmoja na yanga.
YANGA WALITAKA kumpeleka SINGIDA akakataa na KUOMBA kuvunja mkataba....
Si wamemuacha sakho tayariBangala ANAMKATABA WA Mwaka mmoja na yanga.
YANGA WALITAKA kumpeleka SINGIDA akakataa na KUOMBA kuvunja mkataba...
Alivimba kichwa sana.Mchukueni tu,kwetu alishaaga 20% tu ya kubaki alisema mwenyewe
Si wamemuacha sakho tayari?
Banda na Phiri ni "surplus to requirements"Wachezaji wa kigeni.
1. Jefferson Luis goal keeper.
2. Ngoma
3. Kramo
4. Malone
5. Onana.
6. MIQUESSON.
7. Inonga
8. Kanute
9. Saido.
10. Baleke.
11 Chama
12. Phili.
13. SACKO.
14 . Banda .
WANGEKUWA NA AKILI WANGEMTOA KAFALA PHILI AJE BANGALA.
Acha ujinga umtoe Phiri una kichaaa.Wachezaji wa kigeni.
1. Jefferson Luis goal keeper.
2. Ngoma
3. Kramo
4. Malone
5. Onana.
6. MIQUESSON.
7. Inonga
8. Kanute
9. Saido.
10. Baleke.
11 Chama
12. Phili.
13. SACKO.
14 . Banda .
WANGEKUWA NA AKILI WANGEMTOA KAFALA PHILI AJE BANGALA.
Kwanini umewaita takataka mkuu. Ni mpira tu au una shida nyingine na wao.Banda na Phiri ni "surplus to requirements"
Simba wana wachezaji wengi eneo la mbele ambalo wanacheza hao flop wawili lakini wana uhaba kwenye kiungo ya chini na beki ya kati kwaiyo usajili wa Bangala utakua na faida kubwa kuliko kuendelea kukaa na hao takataka wawili wasiokua na matumizi kwa Robertinho
Hakuna shida yoyote mkuuKwanini umewaita takataka mkuu. Ni mpira tu au una shida nyingine na wao.
Aende tu huko Simba.Si wamemuacha sakho tayari
Alivimba kichwa sana
Eti anatuambja kubaki asilimia 80℅
Pia alikuwa anachochea migomo sana nabi alishaandika ripoti yake kabla hata ya msimu kuwa djuma na bangala waachwe
Acha tu mkuu, haya mahaba ya mpira yanatufanya tujitoe ufahamu.Kwanini umewaita takataka mkuu. Ni mpira tu au una shida nyingine na wao.
Tatizo huanza pale hawa wachezaji mkiwasifia sanaa wanavimba vichwa na kuanza kiburiHabarini za usiku,
Nimeamua niulize ukweli wa tetesi hizi zinazomuhusisha Bangala kutimkia Simba lakini kitu kinachonifikirisha zaidi ni sababu zilizopelekea mpaka zikawepo tetesi hizi.
Je, uongozi wa Yanga umeshindwa kabisa kukaa mezani na bangala wamalize tofauti zao? Je,huduma ya mkongoman huyu imefika mwisho baada ya yanga kumpata nungu nungu master? Je, klabu haina fedha za kutosha kumlipa au kumshawishi aongeze Mkataba?
Jamani mwenye ukweli wa kinachoendelea kati ya yanga na bangala nomba anijuze .
Angalia ulichokiandika wewe! yaani moze phiri atolewe kafara eti kaziba nafasi? hujui mpira wewe, yaani bora watimue yule ntibanzonkiiBanda na Phiri ni "surplus to requirements"
Simba wana wachezaji wengi eneo la mbele ambalo wanacheza hao flop wawili lakini wana uhaba kwenye kiungo ya chini na beki ya kati kwaiyo usajili wa Bangala utakua na faida kubwa kuliko kuendelea kukaa na hao takataka wawili wasiokua na matumizi kwa Robertinho
Naunga mkono hojaAngalia ulichokiandika wewe! yaani moze phiri atolewe kafara eti kaziba nafasi? hujui mpira wewe, yaani bora watimue yule ntibanzonkii