chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Habarini za usiku,
Nimeamua niulize ukweli wa tetesi hizi zinazomuhusisha Bangala kutimkia Simba lakini kitu kinachonifikirisha zaidi ni sababu zilizopelekea mpaka zikawepo tetesi hizi.
Je, uongozi wa Yanga umeshindwa kabisa kukaa mezani na bangala wamalize tofauti zao? Je,huduma ya mkongoman huyu imefika mwisho baada ya yanga kumpata nungu nungu master? Je, klabu haina fedha za kutosha kumlipa au kumshawishi aongeze Mkataba?
Jamani mwenye ukweli wa kinachoendelea kati ya yanga na bangala nomba anijuze .