Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Shangazi yangu hakupata hii chanjo akaja kuwa mlemavu akiwa na miaka 7. Ana miaka 77 sasa hivi. Amekuwa mlemavu kwa miaka 70. Heri sisi wengine tulichanjwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wamasai wa kule ndan nao huchanjwa? kama hapana je ushakuta wamasai 90 wamekufa barabarani kisa hawakuchanjwa?Ndo maana nikauliza,,, kwa ufahamu niliokua nao mimi ni kwamba ni chanjo, lakini mayb i am wrong, that is why i asked if kuna something more details
Kwani huo ulemavu ulisababishwa na Kukosekana kwa hiyo chanjo au?Shangazi yangu hakupata hii chanjo akaja kuwa mlemavu akiwa na miaka 7. Ana miaka 77 sasa hivi. Amekuwa mlemavu kwa miaka 70. Heri sisi wengine tulichanjwa.
Yeah, kwa mujibu wa maelezo ya wazee.. ni polio nadhani ndio ilipelekea ulemavu.Kwani huo ulemavu ulisababishwa na Kukosekana kwa hiyo chanjo au?
Watoto waliozaliwa kuanzia mwaka 2001 hawana hiyo alama ya nduiNdugu zangu kumetokea ubishi hapa baina ya pande mbili, wengine wanasema ilikua ni njia ya hayati mwalimu nyerere kuweka alama kwa kila mtanzania,, wengine wanasema ni chanjo dhidi ya magonjwa kama tb,,, madocta na wataalamu mlioko humu pliizz tusaidieni hapa, tumekwama
Sio Kwa Tanzania tu nchi nyingi AfricaNauliza kwa ufupi sana,
Je, ni kwanini alama ya chanjo ya Ndui ipo kwa waTz tu? Ina maana hii small pox inadhuru Watanzania tu?