wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Yaani sijajua ni sumu fulani kwenye ile sindani au ni aina yake kutokana na dawa ile au maana ukichomwa ile sindano lazima jeraha litaota usaha kidogo na muwasho alafu baadae linakuwa kovu kabisa hivi ni aina ya dawa au ni ile sindano inafanya hivyo au ni nini.Je!kuna ulazima wowote uwe na lile kovu begani?