Kwa sisi watu wa zamani. Kovu ni lazimaYaani sijajua ni sumu fulani kwenye ile sindani au ni aina yake kutokana na dawa ile au maana ukichomwa ile sindano lazima jeraha litaota usaha kidogo na muwasho alafu baadae linakuwa kovu kabisa hivi ni aina ya dawa au ni ile sindano inafanya hivyo au ni nini.Je!kuna ulazima wowote uwe na lile kovu begani?
T.T haitoi kovu labda kama umechanganya na BCG. Nje ya hapo kuna shida tu.Yaani sijajua ni sumu fulani kwenye ile sindani au ni aina yake kutokana na dawa ile au maana ukichomwa ile sindano lazima jeraha litaota usaha kidogo na muwasho alafu baadae linakuwa kovu kabisa hivi ni aina ya dawa au ni ile sindano inafanya hivyo au ni nini.Je!kuna ulazima wowote uwe na lile kovu begani?
Najazia nazani hutoka Kovu sababu huchomwa kwenye Ngozi badala ya kwenye nyama au mishipa ya damu kama Sindano zinginehio uloitaja ni sindano ya tetanus lakini inayochomwa begani tukiwa watoto ina jina lake i think BCG kama jitakua sahihi na inatakiwa uchome ndan ya miez mitatu kwa mtoto mchanga kaa alichomwa akiwa na wiki na haijatoa matokeo yoyote anatakiwa ndan ya miezi mitatu airudie i stand to be corrcted kama nitakua nineenda wrong somewhere na maelezo yangu.
Kwasasaivi hata kama kovu halijatokea hairudiwi wanasema chanjo tayari ipo mwilinihio uloitaja ni sindano ya tetanus lakini inayochomwa begani tukiwa watoto ina jina lake i think BCG kama jitakua sahihi na inatakiwa uchome ndan ya miez mitatu kwa mtoto mchanga kaa alichomwa akiwa na wiki na haijatoa matokeo yoyote anatakiwa ndan ya miezi mitatu airudie i stand to be corrcted kama nitakua nineenda wrong somewhere na maelezo yangu.
Uko sahihihio uloitaja ni sindano ya tetanus lakini inayochomwa begani tukiwa watoto ina jina lake i think BCG kama jitakua sahihi na inatakiwa uchome ndan ya miez mitatu kwa mtoto mchanga kaa alichomwa akiwa na wiki na haijatoa matokeo yoyote anatakiwa ndan ya miezi mitatu airudie i stand to be corrcted kama nitakua nineenda wrong somewhere na maelezo yangu.
kuna zile za mapaja wanachomwa watoto pia mwez nmoja anachoma mbili miwili mbili mitatu anachoma tatu usipokua makini mtoto zinaamsha homa kali mpaka mchango pengine now a days magonjwani mengiKwani mtu asipochoma inakuwaje, vipi wale watoto waliozaliwa kabla ya hii chanjo kugundulika, ilikuwaje?
Ikifika siku ya kuchoma hio sindano kwa mtt, hata mzazi unaingia homa.kuna zile za mapaja wanachomwa watoto pia mwez nmoja anachoma mbili miwili mbili mitatu anachoma tatu usipokua makini mtoto zinaamsha homa kali mpaka mchango pengine now a days magonjwani mengi
mashallah, hongera una watoto wangapi? mimi nilikua siangaliii anavyochomww nageuza shingo pembeni mana dah mtoto anajikaza analia sanaIkifika siku ya kuchoma hio sindano kwa mtt, hata mzazi unaingia homa.
Nashkuru nimemaliza kuzaa Alhamdulillah
Namie ndio ivoivo. Nageuza uso siwezi kuangalia. Nasubiria kilio tumashallah, hongera una watoto wangapi? mimi nilikua siangaliii anavyochomww nageuza shingo pembeni mana dah mtoto anajikaza analia sana
mimi ndio kwanza nna wawili na sifikirii kuongeza tena duh, hongera sana Mungu akutunzie vijana wakoNamie ndio ivoivo. Nageuza uso siwezi kuangalia. Nasubiria kilio tu
MashaAllah mie kazi nimeifanya Alhamdulillah. Mungu Aniwekee. Bado kdg watimie 10 😉