Hivi ni lazima ukichomwa sindano ya T.T begani itoe kovu?

Sio lazima, na sio lazima ile dawa iwekwe kwa njia ya sindano

Mbona kwenye nchi zingine hawafanyi hivyo?

Labda wanataka watanzania wote tuwe na alama ya utambulisho kama Ng'ombe ili tusipotee
 
Inategemeana na ngozi ya mtu, mimi sijabaki na kovu.
Watanzania wengi wakibishana kuhusu uraia wao wanaoneshana hizo alama kwenye mabega yao, kama huna unajajiwa kwamba wewe sio mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…