stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Umesema vizuri sana mkuu, GENTAMYCINE mkuu endelea umeleta wazo zuriMind set zetu ziko negatively oriented! We are not here to support but instead to discourage each other. Ikionekana mtu kaongea idea nzuri, watu badala ya kumtia moyo wao wanaingiwa na jealousy; kwamba kwanini awe huyu? Wanaoendelea wote sio selfish; they move jointly. Ukimuona mwenzako kaanzisha jambo ambalo unahisi muhimu, toa support na sio kumchukia, au kama kakosea msaidie na sio kumponda. Aliyesema tumelaaniwa hakukosea!