Hivi ni lini?

Hivi ni lini?

Kuna kazi nyingi huko mbinguni mkatusafishie njia tena wew naomba maraika akupe choo ukifanyie usafi maana ukiwekwa jikoni utamaliza nyama bora kule chooni ukasumbuane na mende

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeanza roho mbaya huku ukija mbinguni utakuta tushakukusanyia kun
 
siku ccm itatokA.madaraka the bright of future will start.
 
Umesema vizuri sana mkuu, GENTAMYCINE mkuu endelea umeleta wazo zuri
Tafadhali Mimi ni GENTAMYCINE na siyo huyu Juha na Tapeli wa Kuiga ID yangu ili asafirie Nyota yangu Kali Kiumaarufu GENTAMYCIME sawa?

Mnanikera sasa Kunifananisha na huyu GENTAMYCIME kila mara na nimeshalitolea sana Ufafanuzi hili ila sijui kwanini mnakuwa na Vichwa Mzigo Kunielewa.

GENTAMYCINE Mimi Mwenyewe nilijiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 Mwezi July na huyu Juha na Tapeli GENTAMYCIME kajiunga hapa mwaka Jana hivi kwa tofauti hii mnashindwa kujua kuwa Mimi siyo Yeye? Mnaniboa.

JamiiForums nzima kuna GENTAMYCINE Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer Mmoja tu Mimi na Wengine ni Makapi na wasichokijua ni rahisi Kuiiga ID yangu ila ni Ngumu mno Kuiiga IQ yangu ya Kizanaki, Kimakuwa, Kiyahudi na Kitutsi ( Kubwa ) na ya Kipekee iliyobarikiwa Shani ( Tunu ) nyingi na Mwenyezi Mungu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Sawa mkuu GENTAMYCIME nimekuelewa vizuri
 
  • Ni lini tutakua na taifa la watu ambao tupo concerned na nchi yetu, tunajadili mada nzito nzito?
  • Ni lini tutakua na mashindano like top ten ya uzalishaji kiviwanda kwa mikoa?
  • Ni lini waziri wa teknolojia atazindua gari la umeme kutoka kampuni ya kitanzania?
  • Ni lini vijana wataacha kukimbilia sauzi?
  • Ni lini kila mtu atakua proud kuitangaza bendera ya Tanzania?
  • Ni lini tutakua na taifa la watu shupavu tusiotetereka?
  • Ni lini mtu atatamani kuhama Dar aende Nambunjumbwilu au Vikumbulu?
  • Ni lini polisi watakua watu wa kawaida tu kama sisi beside yapower yao kisheria?
  • Ni lini madogo watashindana ku-code na kuja na mawazo makubwa?
  • Ni lini tuta-launch satellite yetu?
  • Ni lini wadada wengi watajitambua?
  • Ni lini Watanzania kwenda vacation haitakua kitu cha ajabu?
  • Ni lini rangi ya kijani itatoka?
HIVI NI LINI?
Yaani haiwezekani muda huu naandika kwenye uzi huu kuna watua wako hapa JNIA wanamsubiri mtu anaetegemewa kufika kesho mchana kutoka huko far alikokuwa. Nimejiuliza maswali mengi ila nikajisemea labda wamelipwa kukaa muda wote huo
 
sasa hivi hadi kuna chawa wa mama mkuu
Hatari,mfumo wanachofanya ni kuwapoteza watu wasiweze kuwa mawazo ya kujadili na kufanya mambo ya msingi
Kila leo watu,vijana wanaletewa matamasha,matukio ya wasanii tu,uchawa
Taifa lina focus kwenye kukata mauno zaidi

Ova
 
Back
Top Bottom