Hivi ni macho yangu ama? Bango la Ngorongoro

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,557
Reaction score
3,221
Niende kwenye hoja..

Ni hivi kama tunavyojua upekee wa mbuga yetu Ngorongoro na hadhi yake mpaka urithi wa dunia unaitambua. Kwa hiyo hata vitu vyake vinatakiwa viwe na standard za kuridhisha ili ikue na ikue zaidi.

Binafsi silidhishwi na standard ya bango la Ngorongoro. Bango hilo ni pendwa pale ambapo watu ( watalii) wengi hupendelea kuchukua kumbukumbuku kuwa walifika Ngorongoro. Ninaona kwamba Bango liko kawaida sana,Bango halina arts zozote, Bango limekaa chinichini sana , Bango limekaa ilimradi tu kiasi kwamba picha hazitokei vizuri hasa group pictures neno Ngorongoro hufunikwa kutokana na Bango iko chinichini mno.

Kiufupi Bango like linahitaji marekebisho kutokana na hadhi ya Mbuga. Najaribu kupandisha picha inakataa, bango ni la kijani limejengwa juu ya mawe kikawaida sana.
.

.
 
Sioni tatizo hapo, kwa maeneo ya uhifadhi na wanaojua uhifadhi this is normal ila ukitoka nje ya maeneo ya uhifadhi hizo mbwembwe mnazozitaka its fine, ebu google jengo jipya la ngorongoro arusha pale ujionee au wanaaolijua watasema hapa.
 
Ulitaka liwe na rangi ya M4C?
Hilo umesema wewe.

Tanzania hakuna chama cha siasa

Kuna magenge ya wezi tu.

Usitake kulazimisha kwamba nisipokuwa pale, lqzima nipo huku.

Nyumbu wa Lake Manyara.
 
Unaongea upumbavu halafu unakuwa mkali
Upumbavu ukiuona utaujua kwa akili zako zenye utapiamlo?

Hapo nimepiga chafya kwa eeflex action tu, sijawa mkali bado.

Ila mawazo yako ambayo hayajazoea rabsha za wanaume yanaona ninekuwa mkali.
 
Mada ni nzuri, mtoa mada anakitu kaona si vizuri kutukanana tuendelee kupingana kwa hoja, nchi yetu, mbuga yetu ,mawazo tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…