Hivi ni macho yangu ama? Bango la Ngorongoro

Hivi ni macho yangu ama? Bango la Ngorongoro

Asante mkuu @ngaoyaimani kwa picha ndiyo hii .Sasa group picha ya watalii. 20 wanakaaje ili tuuze neno Ngorongoro hapo? Yaan kuna vi-Lodge huku. Arusha vina mabango yamedizainiwa mpaka unahisi raha hili liko serious mno duhhh...
 
Wangeandiak kwa lugha tofauti tofauti kam lugh tanoo hvv itapendezaa smaaa
 
Out of respect for the esteemed "president", I refrain from further comment on this dingy, littered, cobweb filled, unlit alleyway.
Imbecile and pathetic ,put your ass away from my p

State agent
 
Hilo umesema wewe.

Tanzania hakuna chama cha siasa

Kuna magenge ya wezi tu.

Usitake kulazimisha kwamba nisipokuwa pale, lqzima nipo huku.

Nyumbu wa Lake Manyara.
Kigagula mkubwa wewe umezoea kuwekewa vidole na mmeo unakuja na sosona hapa


State agent
 
Bango lina rangi za chama fulani.
Hayo ya rangi na vyama achana nayo. 'Green' inatumika kama rangi ya kupambana na ubadhilifu wa mazingira. Kwa msingi huo, hata nchi za Ulaya kuna vyama vinaitwa Green Party. Usiunganishe rangi hiyo na CCM.
 
kama ujumbe unafikika tatzo nn mkuu
awamu ya tano.tunafufua viwanda tu
 
kwani kibao kikiwa hivyo kinapunguza idadi ya watalii ama ..mtoa mada acha kucomplicate au ulitaka wachore na picha za wanyama
 
Back
Top Bottom