Hivi ni mimi tu au na wengine mnapitia ninayoyaona

Hata yeye alipata tabu pia kukuelekeza kila jambo ulipokua mdogo ila hakukuacha au kukukimbia,alikulea mpaka leo hii umekua na kujiona wewe ni bora kuliko yeye,
Nenda nae pole pole ataelewa tu,matatizo hayakimbiwi bali hutatuliwa.
 
Pole ila naona wazazi wengine uzee ukija wanakua tabia zisizostahimilika hvyo subra na nusara ni muhimu
 
Hawa ndio sishangai kutwa kutukana humu na kupata ban Taifa lina hasara sana hilii daah nimeumia kuona Mzazi akisemwa na muhuni JF inaumiza sana...
 
Weka picha yake tukushauri kulingana na tutakavyomuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…