Hivi ni mimi tu au na wengine mnapitia ninayoyaona

Hivi ni mimi tu au na wengine mnapitia ninayoyaona

Hata yeye alipata tabu pia kukuelekeza kila jambo ulipokua mdogo ila hakukuacha au kukukimbia,alikulea mpaka leo hii umekua na kujiona wewe ni bora kuliko yeye,
Nenda nae pole pole ataelewa tu,matatizo hayakimbiwi bali hutatuliwa.
 
Pole ila naona wazazi wengine uzee ukija wanakua tabia zisizostahimilika hvyo subra na nusara ni muhimu
 
WEWE NI MPUMBAVU... HUWEZI KUMZUNGUMZIA MAMA YAKO NAMNA HIYO...

HUYO NI MAMA YAKO... HATA IWEJE NI MAMA YAKO... NI LAZIMA UMSITIRI KWA MAPUNGUFU YAKE...

HATA KAMA HAKUNA ANAYEKUJUA HUMU... MAMA YAKOUMSITIRI HATA UKIWA PEKEE YAKO.. YAANI HATA KUMTUSI KIMOYOMOYO HAIFAI...

NDIO MADHARA YA KUSOMESHA MITOTO SHULE TU... INASHINDWA KUJUA THAMANI ZA MAMA ZAO.
Hawa ndio sishangai kutwa kutukana humu na kupata ban Taifa lina hasara sana hilii daah nimeumia kuona Mzazi akisemwa na muhuni JF inaumiza sana...
 
Nipo likizo yapata wiki moja, ila nilisafiri kutoka kwangu kuja kwa huyu mzazi wangu.

Likizo imekuwa chungu natamani tu nirudi nyumbani kwangu kabla ya muda, kutwa nashinda naongea nampa ushauri namuelekeza kuna baadhi ya mambo naona kabisa anaharibu lakini ni mbishi kwelikweli.

Kazi kwelikweli!
Weka picha yake tukushauri kulingana na tutakavyomuona
 
Back
Top Bottom