Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 495
- 1,436
Habari za jioni kwa member wote wa JF
Hivi Sasa Kuna kitu sijaelewa mpaka Sasa Yani naona watu wamekuwa shallow Sana.
Naona Sasa mtu kukutafuta ni mpaka awe na shida au matatizo la sivyo hakuna shobo hata kidogo.
Kila mtu anajiona star au ana act celebrate flani yaani Kila mtu anajiona special hivi.
Sahivi ukiongea na mtu utakuta anaongea yeye tu na mambo yake ni ngumu Sana kukuta mtu anakusikiliza unachoongea na hata akijitahidi kusikiliza unachoongea atakukatisha katikati au utaona usoni kwake anaonyesha dharau japo atajificha.
Kila mtu Sasa na victim yaani yeye ndio amekosewa na onewa ni ngumu Sana kukuta mtu anakubali makosa yake hata Kama ni Iko wazi.
Dunia ya Sasa kwa Ninachokiona ni changamoto sana kujenga deep connection na mtu Sijui ni Mimi tu ambaye naliona hili.