Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

Maisha yako yanafanana na watu wengi sana. Kuna watu tumetumia nguvu kubwa tutoboe maisha tusaidie na familia ila tukatoka hola bila chochote. Ndugu maisha yana siri nyuma yapazia. Ukiona mtu anaenda kwa waganga au kwenda kwenye mazabahu flani ya ki Mungu au shetani usimcheke ila ikiwa anapotea jaribu kumweleza ukweli wamaisha ajue pakuanzia. Kaachin jitafakari iko nguvu ikurudishayo nyuma uliza wakubwa walio kua kiroho watakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu funga macho punguza kujitoa kwanza kwa familia.. kama ulikuwa unatoa buku anza kutoa Tsh 200. Lipa madeni unayodaiwa huku ukijiimarisha wewe kwanza. Itachukua kama mwaka mmoja ila utakuwa sawa zaidi. Hata mimi wakati naanza mishe zangu niliwaambia familia yangu kuwa waniache nijipange kwanza nikiwa sawa nitakuwa natuma chochote kitu
 
Wewe utakuwa mtoto wa mama.watu tumepitia magumu mpaka roho inakuwa sugu na majanga ilibaki kidogo nijirushe ziwa victoria lakini tulivuka .
Mkuu vumilia ualimu nikazi ngumu cha msingi ni kuwa na subira kuishi ndani ya kipato chako.Halafu punguza wategemezi wasio wa msingi.Bora wakuite mchoyo unaroho mbaya ila mambo yako yanaenda.
 
ndugu kuji Tenga na watu kisa aibu, haito kusaidia chochote.
Hao watu unao waogopa ndio mtaji tosha kwako.

sema nao huenda wakawa na Fursa, au ushauri mzuri, kwani wako na wewe kila siku.
Kikubwa zidisha maombi na juhudi, wakati uki fika itakuwa tu.
 
Unaishi kwenye ulimwengu bandia Rudi kwenye maisha yako. Weka akiba hata kama ni kidogo pia inaonekana unaishi single life(easy to be seen) jaribu kua na double life...
Vilevile inaonekana unapopata fedha zote zinaishia kwenye madeni ilo ni kosa hata kama unadaiwa na Kijiji kizima.
 
Kuna jamaa humu ana degree ya uhasibu anatafuta hata kazi kubeba mafile.

Unalipwa shilling ngapi kwa mwezi?
 
Nakushauri achana na Maisha au jinyonge tu ujinga ukae pembeni
 
Kuna mtu hana hata hyo kazi ya ngazi ya chini na ana majukumu kama yako au zaidi, unamzungumziaje huyu?

Na kama umejichanganya umekopa mkopo alafu umeutumia kutatua matatzo yako jua kwamba hayo matatzo umeyazidisha mara dufu

Shukuru kwa kupata ajira (yenye assurance) serikalini, watu tupo mtaani mwaka wa 6+ baada ya kuhitimu na serikali ndo hii imevurugika kila mtu anakula alipo

Tumia hicho kdogo ulicho nacho kukiongeza kwa side hustle, kubali kuanzia chini
 
Wewe utakuwa mtoto wa mama.watu tumepitia magumu mpaka roho inakuwa sugu na majanga ilibaki kidogo nijirushe ziwa victoria lakini tulivuka .
Mkuu vumilia ualimu nikazi ngumu cha msingi ni kuwa na subira kuishi ndani ya kipato chako.Halafu punguza wategemezi wasio wa msingi.Bora wakuite mchoyo unaroho mbaya ila mambo yako yanaenda.
 
Nadhani kwa kazi yake ni lazima ana bima ya afya ya NHIF ambayo nadhani bado hajui umuhimu aende muhimbili ataelewa.
 
Wewe ni gold iliyo kwenye udongo. Kwa maelezo yako ni wazi kuwa una damu na spirit ya kuwa milionea. Roho imeshastuka ila akili bado ina bargain ili kuruhusu mwili ufanye maamuzi.

Acha kazi tafuta biashara au mishe nje ya kuajiriwa. Baada ya muda utaona kuna nguvu inaamka ndani yako unaanza kufanya vitu ambavyo mwanzo ulidhania hautaweza fanya.

Kuna muda MUNGU anazungumza na wewe kupitia maumivu. Badala ya kulalamika tuliza kichwa na kufocus, mwanaume hajaumbiwa kulalamika au kulia lia kaumbiwa kutuliza kichwa na akili na fikra nyakati ngumu na kusikilizia purpose yake na MUNGU ni ipi.

Hayo magumu unapitia ni ishara ya MUNGU anajibu sala zako ulizoomba nafsini mwako bila kujua. Kama uliomba mafanikio basi jua tayari MUNGU amepokea maombi yako na ndio anayafanyia kazi kwa kuongea na wewe kupitia hali zako.

Akikuacha urelax hautaweza jipanga upya kuanza safari yako ya mafanikio.

Watu wenye mafanikio huwa wanapitia stress na pressure kama maandalizi ya maisha mapya ya mafanikio.Unadhani kumiliki magari ya bei, nyumba za gharama, biashara ya mamilioni, wafanyakazi na mamilioni ya pesa ni kazi rahisi ambayo mtu kama wewe hapo ulivyo sasa unaiweza kizembe?

Relax and enjoy the process, acha hiyo kazi, anza kujipanga upya. Watu wanaofanikiwa huwa hawaajiriwi.
 
Tumia equation hii hapa :matumizi mabaya ya pes ya kila mwezi=pesa inayohitajika kwaajili ya matumizi ya msingi ama madeni yako kwa mwezi, Mungu hutupa pesa kutokana na majukumu na mahitaji tulioyo nayo lkn mwanadamu anatumia pesa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…