BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Nilicho notice mkuu ni kuwa unachukia ualimu licha ya uduni wa maslahi kuchukia kwako kada ya ualimu ndio kunakupa stress ongezea ugumu wa pesa basi inakuwa vuruga tupu..
Ndio maana wenye busara wanatusisitiza kufanya kazi tunazopenda lengo ni kuwa hata kama hupati pesa basi utakuwa unaenjoy unachofanya.
Umasikini ni kitu kibaya sana mungu tusaidie mbinu za kukabiliana nao