Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote nawambiq watu wanasema ooh unatutukana lakini kazi ya ualimu dunia nzima ni dead end job? Yaani ukiona mtu anaifanya kazi hii jua kabisa yupo kwenye bottom ya economic food chain. Ufundishe ,utoe notes ( private schools),Usahishe madaftari, usimamie darasa( classmaster) , ujaze yale ma document yao ( logbook, scheme of work, strategic plan na mablaa blaa mengine kibao), ufatilie wanafunzi watukutu na mavitu mengine mengi. Ivi mazingira kama haya unaachaje kuwa insane??? Ndio maana ma teacher wengi ukuwaona unaweza kufikiri wamechanganyikiwa. Alafu mwisho wa siku salary kiduchu sana. Kazi ya kijinga sana hii. Kama unatk kufa maskini na ukiwa na stress basi endelea kuogopa kuacha kazi ya ualimuNimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa.
mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga.
Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata sijaoa sina hata mtoto wa kusingizia.
Nina watu zaidi ya watano wananitegemea hapo nyuma kwa sababu ndiye hustler (mpambanaji) wa kwanza huko nyumbani yani nikiyumba mimi ndiyo kwishaa kabisa.
Mazingira ya nyumbani tena ndio hivyo yaajabu na nimepambana hata niyaweke vizuri lakini ndio hivyo tena bado nimekwama.
Nimekaa hivi naangalia Magh, Mash, Kas, Kusini hakueleweki.
Nimejikuta najitenga na watu kwa sababu nasikia hadi aibu hali ya maisha.
Kazi yenyewe ni ngumu makorokocho mengi inachosha haina hata maslahi wakuu.
Ukizaliwa familia maskini aise halafu huna mtu wa kukushika mkono kutoboa unatumia nguvu kubwa sana. Nimejaribu kuwaza kuacha kazi ila shida sina msingi tena.
Wakuu kazi yangu ya ualimu duu sijui nifanyeje kwa kweli.
Mkuu kusave pesa kwa mshahara tu hicho hakiwezekaniPole sana mkuu, cha kukushauri hapo lazima uweke bajeti na uwe strict kuifuata mfano mshahara wako ni buku nyumbani tuma 400 matumizi yako binafsi 400 na 200 fanya saving itakusaidia
Ila kwa sasa kutokana na madeni jitahidi usiongeze madeni tena jikite kwenye kulipa kwa kujipa muda hata wa miezi 6 ukimaliza ishi kulingana na kipato ndiyo njia ya kusurvive pekee
Bora shari kwingine sio kwenye ualimu. Kazi ya ualimu unachukiwa dunia nzima. Ingia reddit uone wamarekani wanavyolia na kuomba ushauri namna ya kujitoa kwenye hii kazSasa mwaya ukiacha kazi madeni yataisha,na familia utaimudu kweli bila kazi?cha msingi waza namna ya kukuza kipato chako,tafuta biashara fanya,fuga na lima.mtaani hakufai aisee,heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
Usijali kabisa. Karibu sana.Very Inspirational and motivational comment. Hadi nimetoa machozi nakuja PM una madini makubwa
embu walime block hao watu wa tano kwanza kwa miezi mitatu then uje kunishukuru hapaNimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa.
mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga.
Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata sijaoa sina hata mtoto wa kusingizia.
Nina watu zaidi ya watano wananitegemea hapo nyuma kwa sababu ndiye hustler (mpambanaji) wa kwanza huko nyumbani yani nikiyumba mimi ndiyo kwishaa kabisa.
Mazingira ya nyumbani tena ndio hivyo yaajabu na nimepambana hata niyaweke vizuri lakini ndio hivyo tena bado nimekwama.
Nimekaa hivi naangalia Magh, Mash, Kas, Kusini hakueleweki.
Nimejikuta najitenga na watu kwa sababu nasikia hadi aibu hali ya maisha.
Kazi yenyewe ni ngumu makorokocho mengi inachosha haina hata maslahi wakuu.
Ukizaliwa familia maskini aise halafu huna mtu wa kukushika mkono kutoboa unatumia nguvu kubwa sana. Nimejaribu kuwaza kuacha kazi ila shida sina msingi tena.
Wakuu kazi yangu ya ualimu duu sijui nifanyeje kwa kweli.
Swali la msingi sanaHao watu watano wanaokutegemea ni walemavu?
"Vilevile inaonekana unapopata fedha zote zinaishia kwenye madeni ilo ni kosa hata kama unadaiwa na Kijiji kizima"Unaishi kwenye ulimwengu bandia Rudi kwenye maisha yako. Weka akiba hata kama ni kidogo pia inaonekana unaishi single life(easy to be seen) jaribu kua na double life...
Vilevile inaonekana unapopata fedha zote zinaishia kwenye madeni ilo ni kosa hata kama unadaiwa na Kijiji kizima.
[emoji23]Huu ndo ulibidi uwe Uzi na Uzi uwe comment .
Very sorry Brother , hope you shall overcome.
Ushauri wa kijizi na kitapeli huu.Pole
Anza na kutoa ten percent kwa Mungu Ili usiwe unaishiwa ishiwa na pesa kila mara kama sasa!!
Tafuta huduma ambayo unaweza kuisapoti kisadaka halafu uwe unamdai Mungu kile ulichomtolea akubariki!!
Mf.unaweza mchagua Mwl jacob Steven (huduma ya kristo)au unyakuo tv au Rudisha tv ya Josephat Gwajima au whatever nenda YouTube utaziona namba zao!!
Halafu ukishatoa usiku ukiamka just pray a simple prayer!!
"Nimekutolea Mungu was Mtumishi ........(taja jina lake) naomba unijibu nimechoka umaskini huu nilionao naomba Baraka zisizo Isha kama chem chem!!!
Utashangaa my friend akaunti Yako haitoishiwa na pesa jutahidi unachopata uweke na akiba kidogo,endelea kumuonba mungu juu ya nyumba ya kuishi nzuri Gari na mengineyo huku kuna biashara update ya kufanya!!
"The days of small beginnings" by Zac poonen!!
Usidharau mwanzo mdogo unaoanza nao friend!!!
TRUST ME HAKUNA KAZI NZURI KAMA UWALIMU MKUU,HUZEEKI MAPEMA YOU ENJOY LIFE WITH BOYS AND GIRLS LIKE FRIENDS"
UNATAKA UKAE OFISIN MUDA MREFU UFE KWA SUKARI NA PRESSURE!!?
NIMEANDIKA KUTOKA KWA HEART TAKE IT!
Loh150k
Faida yake ni niniHizo ni mbwembwe wakitaka wasinivishe chochote takuwa sijitambui kwa lolote.
Kumbe mzoefu wa kufungua nyuziAsante kwa ushauri leo sijapata comments (jumbe) za kukatisha tamaa