Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,118
[emoji1531][emoji1531][emoji1531]Sipendi kuangalia movie na Mtu.
😃Hapana ni upenzi tu. Wala sio kwa ajili ya maswala yale.Mimi sio mpenzi wa karanga kiukweli af vipi huwa Unatafuta hatari gani mkuu au joint zimekauka 😊😊..
Hahaha umenipa ujanja, kupooza miwa kwa fridge? Sijawahi kufikiria
😃Hapana ni upenzi tu. Wala sio kwa ajili ya maswala yale.
😀😀😀Umenirudisha home asee yaani ukianza kuhadithia tu. Raia wanakuvamia kwa madongo na kama una roho ndogo unaweza kutoka 😂😂
Unazipatia wapi.. Hongera kama upo jirani na banda la popcornKwani hata ukiwa home haziliki?
Vituoni mbona yapo.Unazipatia wapi.. Hongera kama upo jirani na banda la popcorn
Kumradhi,unamaanisha vituo vipiVituoni mbona yapo.
Senta unazoshukia wewe au kupita wakati unarudi mihangaikoni.Kumradhi,unamaanisha vituo vipi
😆😆😆Hawa wapo wengi... Wanashangilia goli kabla hamjaliona halafu muda mwingine wanaongopa... Kuna dogo fulani ilikuwa wakati wa tuta mechi ya muhimu,kashangilia ovyo kabla hatujaona kwenye tv akatingisha mitambo tulimpa akaviunganisha huku analia, na kitu kimewaka tena penalty zimeisha.Pia kwenye mpira ipo unamkuta mtu ana karedio kake anshangalia gori kabla ya TV
Huwa najiuliza si bora usikilizie huo mpira kwenye icho kiredio kuliko kuja kuharibu radha yatunao tazama live pitia TV.
Nipo nazo mbali kidogo... Halafu hata huko theatre nanunuaga kimazoea au kimkumbo tu huwa sizipendelei.... Hapo sasa unaweza kupima chance ya mimi kuwa nazo huku natizama picha home.Senta unazoshukia wewe au kupita wakati unarudi mihangaikoni.
Mtu mzima si ndiyo nazima tv ahadithie vizuri.Bora mtoto aisee mtu mzima unashindwa hata umwambieje
Na kwanini uhadithie nawewe...[emoji3] lazima utoke eneo la tukioUmenirudisha home asee yaani ukianza kuhadithia tu. Raia wanakuvamia kwa madongo na kama una roho ndogo unaweza kutoka [emoji23]
Hahaha Mimi nazima halafu naanza kumwangalia yeye akisema oh mbona unatoa sasa namwambia hee sasa nitaangaliaje movie mbili kwa wakati mmoja, Bora tu nikuangalie wewe[emoji4]hapo stimu yote inamuishaHabari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.
Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'
Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?
Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani
Hahaa ujinga sana mimi huwa namchana mapeema mtu hivyo.Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.