Hivi ni mimi tu ndio nakereka na hii tabia au tupo wengi

Umepitwa na mengi bhasi.. toka long nilikuwa naona inakatwa kwa vipande vidogo katika mabakuli makubwa ya udongo na kuwekwa kwa fridge. Taste yake nzuri na hata leo huwa nafanya hivyo. Thank me later [emoji4]
Aisee nitajaribu
 
Pia kwenye mpira ipo unamkuta mtu ana karedio kake anshangalia gori kabla ya TV

Huwa najiuliza si bora usikilizie huo mpira kwenye icho kiredio kuliko kuja kuharibu radha yatunao tazama live pitia TV.
😆😆😆Hawa wapo wengi... Wanashangilia goli kabla hamjaliona halafu muda mwingine wanaongopa... Kuna dogo fulani ilikuwa wakati wa tuta mechi ya muhimu,kashangilia ovyo kabla hatujaona kwenye tv akatingisha mitambo tulimpa akaviunganisha huku analia, na kitu kimewaka tena penalty zimeisha.
 
Njooo tuangalie wote, nilivomvivu wa movies basi kila kitu wee utakua unanisimulia

Sindo unataka ?.
 
Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.

Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'

Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?

Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani
Hahaha Mimi nazima halafu naanza kumwangalia yeye akisema oh mbona unatoa sasa namwambia hee sasa nitaangaliaje movie mbili kwa wakati mmoja, Bora tu nikuangalie wewe[emoji4]hapo stimu yote inamuisha
Au mwingine akijua umeiona hiyo movie halafu ye ndo yupo kuangalia anaanza kukuuliza "enhee huyo atapigwa/atakufa hujakaa vizuri swali jingine mwishoni sasa ilikuwaje wakati bado anaangalia[emoji51] sipendi mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanaJf, poleni na mapambano dhidi ya corona.

Kwa wale wenzangu na mimi wapenda movie/ tamthiliya mnaweza kuwa mmekaa mnaangalia movie yenu anakuja mtu ambae tayari alishaiangalia anaanza 'hao wanaopigana hapo baadae watakuja kupatana' au ' huyo hapo baadae atakufa'

Hii tabia kiukweli inakera sana unatamani umtie vibao huyo anayeongea maana mimi ukishaniambia hivyo hamu yote ya kuangalia movie inakata. Nianze kuangalia nini tena wakati nimeshajua mbele kinatokea nini?

Halafu hii ipo sana kwa watu wa uswahilini sijui tupoje yaani
Hahaa ujinga sana mimi huwa namchana mapeema mtu hivyo.
 
Back
Top Bottom