Siyo Mimi mkuuSamahani mkuu kwenye hii profile picture ni wewe? Nimefall hakyamungu vile!
Mida mibovu
Dah basi tena tumwachie aliyeumba. Asante mkuuSiyo Mimi mkuu
Karibu tena mkuuDah basi tena tumwachie aliyeumba. Asante mkuu
Kwani kuvaa barakoa Hadi kwenda kununua kitu..!!!..πππ embu vaa huko
πππππHizo ni kama unakwenda kwenye mkusanyiko wa watu, au unaenda kununua au kuuziwa kitu...
Nakupeleka movies tu hizo za nini? Utadandiaje sasa...
Cc: mahondaw
πππππ
We m'bishi Sana
Ila Mimi nitavaa..kudandianaπ€ nimekumbuka Corona ..nimeghairi
ππππNawe ni mtukutu sana...
Labda usivae mbele yangu, ukivaa mbele yangu yani nachana kila kitu mpaka visivyohusika...
Hapana, siyo kudandiana, wewe umesema unapenda kudandia...
Cc: mahondaw
Namuona..likes Kama zote...depal nakusalimu tu mimi
ππππ
Kuna barakoa za plastic babaa..tuone utachanajeππ
Nimeghairi hata huko kudandia..chitakii
πππππTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Hizo za plastics ukija vua mdomo wote unakua umejikusanya pamoja, kama unayesubiri kusutwa...
Cc: mahondaw
πππ