Hivi ni mimi tu ndio nakereka na hii tabia au tupo wengi

Hivi ni mimi tu ndio nakereka na hii tabia au tupo wengi

Hizo ni kama unakwenda kwenye mkusanyiko wa watu, au unaenda kununua au kuuziwa kitu...

Nakupeleka movies tu hizo za nini? Utadandiaje sasa...

Cc: mahondaw
😀😀😀😀😀
We m'bishi Sana
Ila Mimi nitavaa..kudandiana🤔 nimekumbuka Corona ..nimeghairi
 
😀😀😀😀😀
We m'bishi Sana
Ila Mimi nitavaa..kudandiana🤔 nimekumbuka Corona ..nimeghairi

Nawe ni mtukutu sana...

Labda usivae mbele yangu, ukivaa mbele yangu yani nachana kila kitu mpaka visivyohusika...

Hapana, siyo kudandiana, wewe umesema unapenda kudandia...

Cc: mahondaw
 
Nawe ni mtukutu sana...

Labda usivae mbele yangu, ukivaa mbele yangu yani nachana kila kitu mpaka visivyohusika...

Hapana, siyo kudandiana, wewe umesema unapenda kudandia...

Cc: mahondaw
😂😂😂😂
Kuna barakoa za plastic babaa..tuone utachanaje😜😜

Nimeghairi hata huko kudandia..chitakii
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Hizo za plastics ukija vua mdomo wote unakua umejikusanya pamoja, kama unayesubiri kusutwa...

Cc: mahondaw
😂😂😂😂😂

Binadamu bwana sijui lini wataacha ubishi

Hapo kwenye mdomo Kama samaki chuchunge 😂
 
Back
Top Bottom