Se Busca
Member
- Dec 11, 2023
- 69
- 260
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.
Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.
Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!