Hivi ni mimi tu ninayenyimwa tendo la ndoa na Mke wangu? au wengine mpo?

Naomba kufahamu mkeo ana watoto wangapi? Na je ndoa yako Ina umri gani? usije Kuta ana ule ugonjwa unaotokana na kumaliza kujifungua anakuwa na hofu ya tendo la ndoa kabisa, hii imenitesa sana na bado iannitesa! Sijapata mwanasaikolojia wa kuzungumza nae. Usichepuke kabisa, zungumza nae na inawezekana hajui tatizo pia, mtafutie mtu azungumze nae. USICHEPUKE
 
Ungekuwa Mkristo ningekushauri urejee maandiko! Mnaokota wanawake waliokwishazalishwa au kutoa mimba kibao au makahaba/malaya waliotembeza "k" mpaka wakachoka na kujisemesha "ebu nimtafute boya mmoja anioe". Kibiblia mme ni kichwa na mke ni mwili (kiwiliwili). Kwahiyo jinsi mwanamke anavyotembeza "k" yake kwa kila mwanamme anaongezewa kichwa mpaka anakuja kwako anakuwa amebeba vichwa vya wanaume wooote aliotembea nao ama kwa ngono au kwa kuzaa na uwe na uhakika anakuwa na utisho na wewe utamgwaya wakati yeye anakuona kama katoto vile. Hivi mwanamke anatoa wapi ujasiri wa kumnyima mme anayejielewa mbususu??? Piga chini tafuta utakaye mmudu!!
 
Au kwa habari zaidi wasiliana na huyu;

 
Hiyo ni dalili tosha kuwa sasa ana Hawara na huenda huyo Hawara akawa haishii tu Kumkaza / Kumbandua vyema bali pia hata Barabara ya Vumbi iliyotamu kwa Magari ya Kibabe huwa anapita nae.

Cc: mrangi, Arovera na SAGAI GALGANO
 
sasa kuna faida gani ya ndoa wakati tendo la ndoa hakuna πŸ˜‚ njoo kwangu mwaya🌚
 
Hiyo ni dalili tosha kuwa sasa ana Hawara na huenda huyo Hawara akawa haishii tu Kumkaza / Kumbandua vyema bali pia hata Barabara ya Vumbi iliyotamu kwa Magari ya Kibabe huwa anapita nae.

Cc: mrangi, Arovera na SAGAI GALGANO
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ barabra ya vumbi ,magari machache sana, ndo yanaweza
 
Mke wako humfikishi mwisho elewa ivyo. Ukimkojoza hawezi fanya hivyo. Hapo kuna mtu anamgusa mahali anataka. Hiyo moja ila kama anajua anotoka na watu nje au alikushika hapo imani huwa unakufa na upendo wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…