Hivi ni mimi tu ninayenyimwa tendo la ndoa na Mke wangu? au wengine mpo?

Wewe tafuta nyumba ndogo, muda wa kurudi badilisha, kama unarudi saa mbili basi ludi kuanzia saa sita mwenyew ataludi kwenye mstali
 
Mkuu hiyo situation ipo na hasa ukiw muaminfu san kwa mkeo au akijua unachepuka laivu

Jitahid kumpa zawadi za apa na pale , rondom
 
na unaendelea kukaa nae
 
Utakua humvutii kimapenzi tena
Ujue kumpa penzi mtu ambae hakuvutiii ni changamotoo
 
usimwombe hata zaidi ya mwaka, ataisoma namba, we tafuta pisi moja ya mtaani uwe unajipoozea
 
Ile ilikuwa mwanzo
 
The FIRE ๐Ÿ”ฅ IS ON FIREWORKS
 
Gonga ngwara hata mkiwa jikoni akianguka chini tu niwahi hapo hapo ๐Ÿ˜…๐Ÿค•๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Maana kwa maneno si hataki huyo kiufupi tumia nguvu
 
Unadhani kwa kuleta humu topic hiyo utapata msaada?
 
Mkuu hauko peke ako kaa chini chapa maombi akisikia halafu Muombe Mungu akupe mke atakaye kuwa tayali kwa lolote na muda wotee HAKIKISHA UNAOMBA KWA SAUTI MUNGU ANASIKIA KILIO CHAKO
 
Mkeo anaanzaje kukunyima K?

๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ˜–๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜ง๐Ÿคง๐Ÿคง๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡, hiiiiiiiiiii. Labda mimi sio mwanaume. Ndio unaweza ukawa mwisho. Labda awe na sababu ya kuridhisha na inaeleweka kwangu sio kwake.
 
Halafu hizi K za wake na wapenzi wenu mnazi-overrate sana.
Hivi kweli hakuna mengine ya maana kushinda hizo K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ