Hivi ni mimi tu ninayenyimwa tendo la ndoa na Mke wangu? au wengine mpo?

Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Vijana wa siku hizi ni dhaifu sana, la kunyimwa na mkeo nalo la kuleta uku tukupe ushauri?? yaani ulale nae wewe tukupe ushauri sisi?
 
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Karibu kwenye real ndoa,IPO hivyo kwa ndoa nyingi, Sana Sana za wagalatia,
 
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Piga nyeto mzee
 
Naomba kufahamu mkeo ana watoto wangapi? Na je ndoa yako Ina umri gani? usije Kuta ana ule ugonjwa unaotokana na kumaliza kujifungua anakuwa na hofu ya tendo la ndoa kabisa, hii imenitesa sana na bado iannitesa! Sijapata mwanasaikolojia wa kuzungumza nae. Usichepuke kabisa, zungumza nae na inawezekana hajui tatizo pia, mtafutie mtu azungumze nae. USICHEPUKE
 
Umezidi upole mpaka unanyimwa uchi kimasikhara.

Mimi pamoja na upole wangu, siwezi kuendeshwa na mwanamke wala kunyimwa uchi na mwanamke. Nitahakikisha anaumwa ndiyo nitamwonea huruma, kama haumwi atake asitake atanipa uchi.

Staili ninayotumia nikiona anataka kuninyima uchi. Najifanya kama nimekuwa mpole nimekubali matokeo, halafu naanza kumpapasa taratibu maeneo ya kiunoni wakati tumelala. Nikiona katulia napeleka mkono hadi kwenye vutu huku najifanya nimekubali matokeo. Atakuwa ameshalegea hapo. Kwasababu atakuwa ameshalegea, akijifanya kukataa hapo ndiyo nafosi sasa. Naendelea kumchezea kinguvu halafu nampaka mate kinguvu. Akikubali nimpake mate tu, biashara imeisha.
 
Wengine tulilalamika hadi kutaka kuandamana, mwisho tukaamua kukaa kimya na kufanya ya kufanywa. Maisha mafupi sana, hawa jamaa zetu mkishapata watoto ni kama akili yote inahamia huko.
 
Hukwo ni kubaka, hakunogi, hakuna mshawasha...raha yake upewe kwa ridhaa na kwa upendo.
 
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Ish wa nae s umvizie umbake tu Kwani shingapi😂
 
Anyways mtese kisaikolojia nawewe acha kumuomba we Tulia jifanye kama na wewe huna time amka nenda kazini

iko hivi binadamu ukiwa Unamlalamikia/unamuomba sana kitu fulani afu akawa hakupi ushirikiano baadae ukaja ukaacha atajiuliza maswali sana Bila majibu lazima kuna namna atataka kujua nani anakutizimia hitaji hilo ikiwa wewe yeye amekunyima!

wala usilalamike "Ila wewe akikupa kula maana ukisusa mwengine atakuja in voice of harmonize (kooh oooh)
 
Wengine tulilalamika hadi kutaka kuandamana, mwisho tukaamua kukaa kimya na kufanya ya kufanywa. Maisha mafupi sana, hawa jamaa zetu mkishapata watoto ni kama akili yote inahamia huko.
Sure hakuna sababu ya kumlazimisha mtu maana mwili ni wake, kwa mwanaume mwenye uwezo wa kujizuia na ajizuie tu. Mtu akishamnyenyekea mwanamke anayekataa kutoa haki ya tendo la ndoa basi mwanamke huyu atajiona mungu mtu na kuzidi kumnyanyasa mumewe.
 
Tafuta wenye uzalendo.
Impossible kuwapata,sio wote lkn wadada wengi wanatafuta pakupumzikia wakipapata ndio dharau zinaanza km hizo,means wkt wamahusiano wanakua malaika utapewa chochote lkn akiingia ndani kazi inakugeukia mume,ndio maana watu maarufu wengi hawaoi bali wanaishi na hasa wakistro at least muslim kwakua unaruhusiwa kuachana kwakua dini inaruhusu.
It’s a tough institution now days
 
Back
Top Bottom