Hivi ni mimi tu ninayenyimwa tendo la ndoa na Mke wangu? au wengine mpo?

Kuna jamaa mke wake alikuwa anamletea maringo anampa akijisikia. Siku moja jamaa karudi usiku kaomba mechi mke kakataa jamaa kamwambia mbona huduma za kununua zitapatikana mke kamwambia nenda. Jamaa kavaa nguo zake akaondoka home akachukua gesti akalala zake mwenyewe tu. Asubuhi akaenda zake nyumbani kajitengeneza zake vizuri huyo kazini. Mke wake hakurudia mchezo wake wakumnyima unyumba. ISHI NAO KWA AKILI.
 
Nimemaliza wiki sijapiga shoo, anasema ninachowaza ni kutiana tu,,, ila maisha yetu wiki hii yamekuwa na migogoro sana

Kuna wanawake wengine sexually desire yao ni ndogo hawapendi kufanya sana na kuna wengine ni kwasababu haridhishwi,ana mchepuko au bad mood kwa namna ya majibu hayo mke wako anaweza kuwa yupo kwenye bad mood
 
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Hii ni kqa faida yako lakini
Inavuruga sana Kisaijolojia ila ukivua hapo utakuwa mtu tofauti sana hadi yeye atakuogopa. Pambana maisha yako. Socialize na watu huko nje ukirudi home Salamu halafu unakula unalala. Usioneshe huzuni wala kuhitaji.
Lazima ataanzia kukutuhumu na hapo ndio mtakaa sawa
 
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Usisikitike wala kulazimiza tendo la ndoa. Vitu vingi vinaweza kuwa kizuizi kwake, mfano katoa mimba na inamsumbua na sio yako, pili ana maugonjwa aliyokwaa atakuambukiza ikiwa pia inaweza kuwa ukimwi. Hawa watu unakutana nao wzkiwa watu wazima. Subiri tu akiwa tayari na vipimo ikasema yuko mzima atakuelewesha. Kama anataka kukepusha na HIV je? Think big.
 
Tumia tu akili ndugu Hauko pekeako ,kikubwa tafuta mchepuko ambaye Yuko royal kwako uwe unaenda huko unarudi nyumbani huna time nae ya kuomba k ,itafika kipindi atahitaji yeye ,fanya tu kuulizia akigoma fanya kususa na wewe
 
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa mpaka wiki sipati kitu.

Na likuwa kila asubuhi lazima anipe ndo niende kazini ila siku hizi naondoka kapa kabisa ukimuamsha asubuhi anadai ana usingizi 😁 na anajua kabisa ile kitu naipenda, nikimuuliza mbona mwanzoni ulikuwa unanipa bila ya kukuomba tena ulikuwa unanitegeshea tu ana dai ile ilikuwa mwanzo.

Soma Pia: Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!
Tafuta kimada nje la sivyo utauliwa na hiyo ndoa yako mpe stress kama vipi nae kichwa kichemke NDOA SASA HIVI NI ULINGO WA MASUMBWI
 
Kuna sababu japo wengi watakwambia kuna mtu huko nje,mi kinachonisaidia huwa tunakutana mara chache tofauti na hapo angekuwa hapati
 
Back
Top Bottom