Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Sijabadilisha namba tatizo ndiyo maana imekuwa rahisi kwake kunipata anyway nimekuelewa asante kwa ushauri wako, nadhani nilikosea kupokea simu na kujibu meseji zake, ntajirekebisha.
 
Hizi mambo za kujifanya ukifunika kurasa unaaachana na hiyo karatasi utajikuta umejaza daftari zima.

Jini ulijualo halikuli likakwisha.
Ni bora hivyo kuliko kung'ang'ana sehemu isiyo sahihi
 
Siyo kweli mkuu mimi sipendagi kumdharau mtu ndiyo maana huwa napokea
 
Hapo anatafuta faraja au njaaa,hivyo akijua wewe ni mwepesi kutoa,tena mimi bawasifu mtu anakaa na namba miaka yote,wakati wewe mlivyoachana siku hiyohiyo umezifuta.
Hatoipata kwangu arudi alipotoka
 
Endelea kutumikaa hadi iote sugu.
 
Hana pesa ndo mana, akizipata utaanza kuchekacheka mwenyewe...
 
Ni rahisi kupasha kiporo kwa ex wako kuliko kuanza upya kwa girl mpya.

Kama unajibu text na kupokea simu zake, ni suala la muda tu mkuu.

Ukitaka Me akukatie tamaa basi usimjibu, muignore kabisa.
Enzi zangu za tongozqtongoza, mwanamke anaejibu mashambulizi basi hachomoi. Tutaburungutana hata miezi kadhaa, kuzidi kukataa kunampa mwanaume curiosity zaidi na kuendelea kukusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…