Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Kumbe unapokea na simu zao? 😳
Mimi ex wangu tulisumbuana kukatiana mawasiliano, nikimblock anatumia namba nyingine. Alianza mpk kunifatilia kila ninachofanya, hapana yule mwanaume alijua kuninyoosha..!!

Mwenzio nilitamani kuhama nchi ili nipumue lakini mwisho nilikaza nikaona ananizoea..!!
Mpaka leo sitaki mazoea na mtu, na hapa sio km hanisumbui anaendelea ni vile simchekei.
After 2 years juzi ndo kanitafuta sikujua kama ni yeye nikawa nimepokea ndo akaanza kunieleza huo upuuzi, nilikuwa na ex kama huyo wako sema yeye hakuwa ananitafuta kwa namba ngeni ila alinisumbua ni aina ya wanaume ambao hawakubali kuachika yaani ving'ang'a na wao ndo wanakuwaga na changamoto katika mahusiano.
 
Guys hakuna kutiki oktoba.

Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.

Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja mimi ndiye nilimuacha kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kwa wakati huo.

Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.

Hivi huwa wanarudi kufanya nini tena kwenye maisha yetu hawa viumbe?
Hao wanataka uteleji rahisi tu hamna lolote jipya la kukurudia
 
Usimkubali, kataa kufanywa kiburudisho..!!
Kwanza magonjwa ni mengi una uhakika gani huko alikotoka km kuna usalama??
Ndiyo hapo sasa akinitafuta ntamwambia afanye mambo yake mimi nina mahusiano yangu na nakaribia kuolewa ili akome kunisumbua🤗
 
Kumbe unapokea na simu zao? 😳
Mimi ex wangu tulisumbuana kukatiana mawasiliano, nikimblock anatumia namba nyingine. Alianza mpk kunifatilia kila ninachofanya, hapana yule mwanaume alijua kuninyoosha..!!

Mwenzio nilitamani kuhama nchi ili nipumue lakini mwisho nilikaza nikaona ananizoea..!!
Mpaka leo sitaki mazoea na mtu, na hapa sio km hanisumbui anaendelea ni vile simchekei.

Mtu anakupenda unasema anakusumbua, Acha hizo shangazi
 
Guys hakuna kutiki oktoba.

Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.

Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja mimi ndiye nilimuacha kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kwa wakati huo.

Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.

Hivi huwa wanarudi kufanya nini tena kwenye maisha yetu hawa viumbe?
Jichanganye inawezekana anacho kumbuka ni show za kitandani, kichwa cha chini ndio kinamlazimisha akutafute wewe. Halafu binti unakuwa vipi na lundo la ma-ex inabidi hata wewe ujitafakari
 
Sio km huo ndio ukweli, wanaume wanataka kumchezea mwanamke ambaye hajitambui..!!

Na usipokuwa makini ataoa na wewe utaendelea kuwa mchepuko wake. Kisha atakupa sababu za kijinga.

Atakufanya sehemu yake ya kupunguzia stress pindi husiano lake au ndoa yake inapomvuruga..!!

Dawa ni kumkataa km Simba walivyomfanyia Msigwa 😹😹
Una balance shobo akafie mbele..!!
😂😂😂😂😂
Uduguu ongezaa sautiiiiii!! Hii imeendaaa.
 
Kumbe unapokea na simu zao? 😳
Mimi ex wangu tulisumbuana kukatiana mawasiliano, nikimblock anatumia namba nyingine. Alianza mpk kunifatilia kila ninachofanya, hapana yule mwanaume alijua kuninyoosha..!!

Mwenzio nilitamani kuhama nchi ili nipumue lakini mwisho nilikaza nikaona ananizoea..!!
Mpaka leo sitaki mazoea na mtu, na hapa sio km hanisumbui anaendelea ni vile simchekei.
😂😂😂😂😂
Udugu unanivunja mbavu ujue.
 
Back
Top Bottom