kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #101
Asante kwa mchango wakoWewe mapenzi yanakutesa..
Hebu tuliza bichwa hilo acha kutiktaki.
View attachment 3471129
View attachment 3471130
View attachment 3471131
Asante kwa mchango wakoWewe mapenzi yanakutesa..
Hebu tuliza bichwa hilo acha kutiktaki.
View attachment 3471129
View attachment 3471130
View attachment 3471131
Asante mkuu, nitafanya hivyo next timenjia ya kutokukusumbua ni wewe kukata mawasiliano nao mazima,usijibu text wala kupokea simu,hayo ni majibu tosha,ila ukijibu wanapata moyo kuwa unaweza kulegeza wakapita tena na wewe
Kumbe sawaJichanganye inawezekana anacho kumbuka ni show za kitandani, kichwa cha chini ndio kinamlazimisha akutafute wewe. Halafu binti unakuwa vipi na lundo la ma-ex inabidi hata wewe ujitafakari
SawaUtaelewa tu
100Hao maex zako wanajaza KATARAMA ngapi?
Roho mbaya 😂Sio km huo ndio ukweli, wanaume wanataka kumchezea mwanamke ambaye hajitambui..!!
Na usipokuwa makini ataoa na wewe utaendelea kuwa mchepuko wake. Kisha atakupa sababu za kijinga.
Atakufanya sehemu yake ya kupunguzia stress pindi husiano lake au ndoa yake inapomvuruga..!!
Dawa ni kumkataa km Simba walivyomfanyia Msigwa 😹😹
Una balance shobo akafie mbele..!!
Mbona kama wewe ni MWANAUMESiyo kweli mkuu mimi sipendagi kumdharau mtu ndiyo maana huwa napokea
😂😂😂😂😅Hizi mambo za kujifanya ukifunika kurasa unaaachana na hiyo karatasi utajikuta umejaza daftari zima.
Jini ulijualo halikuli likakwisha.
62 au sio😂😂😂😂😂😅😅Hiyo statement ya ma ex zangu, Ina onyesha body count yako ni seat za bus la abood🦅
KwaniniMbona kama wewe ni MWANAUME
All in oneWewe ni ke au me
Eeeh😅😅😅Yani komenti za humu ukiwa na hasira utagombana na wengi 😂😂😂😂😂😂 . Hapo ni mawili kama wewe ni me basi ulikuwa muhongaji sana na kama ni ke basi wewe ulikuwa ni mama huruma hata kwa buku mbili wadau walikuwa wanaichakaza
Ndio nini hikiAll in one
Nina jinsia zoteNdio nini hiki