Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Wewe mapenzi yanakutesa..

Hebu tuliza bichwa hilo acha kutiktaki.

Screenshot_20250913_113653.png

Screenshot_20250913_113701.png

Screenshot_20250913_113723.png
 
Sio km huo ndio ukweli, wanaume wanataka kumchezea mwanamke ambaye hajitambui..!!

Na usipokuwa makini ataoa na wewe utaendelea kuwa mchepuko wake. Kisha atakupa sababu za kijinga.

Atakufanya sehemu yake ya kupunguzia stress pindi husiano lake au ndoa yake inapomvuruga..!!

Dawa ni kumkataa km Simba walivyomfanyia Msigwa 😹😹
Una balance shobo akafie mbele..!!
Inasikitisha sana 🥴
 
Nyuzi zake 90% ni za kulilia mapenzi, hata mume anamtafutia humu.

Halafu kukumbukwa na ex kidogo tu anavimba bichwa.

No wonder yeye ndiyo atakuwa problematic kwenye mahusiano yake yote.
Yani haya mafaili uliyoyaleta yametusaidia kujua mhusika ana shida mingi kwenye mahusiano
 
  1. Mmeachana for a reason, simamia kile ulichokiamua, kucheka cheka na maex inafanya wakuone hauna misimamo.

  2. Wablock, kuwa na mawasiliano na maex si nzuri pia kwa mahusiano yako mapya (kama unayo au utataka kuwa nayo huko mbeleni).

  3. Akikupigia na namba nyingine, ukisikia sauti yake kata simu, usiongee naye.

  4. Usiwe na huruma na wanaume, la sivyo utatumika sana. Kaza bidada 😅 😎

    Ni hayo tu!
 
Asante sana kwa ushauri mzuri, hakika sikukosea kukutag🥰🙏
 
Back
Top Bottom