Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kwamba engine imefunguliwa sana Mpaka vifaa vya ndani kunyofolewa 😂Hii bint nilipanga nioe nikrud Bangalore lakn naona ntakuta engine haitengenezeki
Kwamba engine imefunguliwa sana Mpaka vifaa vya ndani kunyofolewa 😂Hii bint nilipanga nioe nikrud Bangalore lakn naona ntakuta engine haitengenezeki
Ni hatar sio Unaona maelezo yake kama kuna foleni ndefu kama kuchukua msaada wa chakula Gaza, sasa hapo Kuna uzimaKwamba engine imefunguliwa sana Mpaka vifaa vya ndani kunyofolewa 😂
UNadhani ana maex wangapi ?Comments za waja sasa😂👋
Wahuni wamefungua engine sana hapo 😂Ni hatar sio Unaona maelezo yake kama kuna foleni ndefu kama kuchukua msaada wa chakula Gaza, sasa hapo Kuna uzima
"Consistency beats perfection" by coral santoroGuys hakuna kutiki oktoba.
Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.
Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja mimi ndiye nilimuacha kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kwa wakati huo.
Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.
Hivi huwa wanarudi kufanya nini tena kwenye maisha yetu hawa viumbe?
Umepuliza gas lakiniWhy do you still have your ex's phone numbers? Why do they still have access to you? What do you expect from them? Healing? Money? Moral support? Dick? Obviously the problem here is you....
Achilia mbali kufunika kurasa na kuchana karatasi, wewe uwa hunatunza daftari zima kabisa kama souvenir. Na mwanamke hanayetunza namba za ma-ex zake na kuendelea kuwasiliana nao essentially ni malaya!
Please respect yourself 🙏🏿
Zipiwaifu material uje ujibu hizi kashfa
Hand writing yako na namna una reply Kwa watu inaonyesha wewe ni MWANAUMEKwanini
Hapana mimi wa kike mkuu, kama huamini basiHand writing yako na namna una reply Kwa watu inaonyesha wewe ni MWANAUME
😂😂😂😂 Sawa ila hamna mwanamke wa kuandika hvHapana mimi wa kike mkuu, kama huamini basi
😅😅duh! Haya sawa naona umeshakuwa Tomaso😂😂😂😂 Sawa ila hamna mwanamke wa kuandika hv
Nipe Lipa Namba nilipieLipia tangazo
Kuhusu injini Bado ipo imara au bila msaada wa fundi wa mara Kwa mara kunakua hakuna KazZipi
Dah wanga wabaya😅😂Kuhusu injini Bado ipo imara au bila msaada wa fundi wa mara Kwa mara kunakua hakuna Kaz
Ipo imara sana maana imetembea kilometres chache sanaKuhusu injini Bado ipo imara au bila msaada wa fundi wa mara Kwa mara kunakua hakuna Kaz
ChaiGuys hakuna kutiki oktoba.
Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.
Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja mimi ndiye nilimuacha kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kwa wakati huo.
Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.
Hivi huwa wanarudi kufanya nini tena kwenye maisha yetu hawa viumbe?
Ongezea kwamba pia ww n pisi kali 😘Hapana mimi wa kike mkuu, kama huamini basi
🤣🤣🤣Ongezea kwamba pia ww n pisi kali 😘