Hivi ni mimi tuu? Au labda na nyie?

Hivi ni mimi tuu? Au labda na nyie?

Yaani unashabikia uzinzi, naona siku hizi nyinyi vijana mumechanganyikiwa.

Hivi hata hamuogopi ukimwi jamani??????????

"Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi" wahenga walinena

tulia na mmoja utakufa ukiwa mdogo dunia ya leo sio ya kuparamia, ulo nae mwambie akukune utakufa ww waza maendeleo acha kuwaza upupu wa ngono, jiulize una future gani hadi sasa, elimu yako inakutosha? una kazi ya maana na kipato? una nini cha thamani kama binti hapa duniani ambacho ni asset yako kwa watoto wako watarajiwa? hivi kinawasha sana au? iga dada zako wa kichaga na makabila mengineyo wanaowaza watatoka vipi kimaendeleo na sio kingono.

Epuka Tamaa mbaya,epuka tamaa mbaya......20%
Mtoto tulia wewe--bushoke

Hizo kazi zina wenyewe ila kwa wewe wa kujistukia stukia, bora tu uache!

Lolollllllllllllllllo ya leokali zimua kidogo shost

Ni pm nikuunganishe na network ya Mabuzi ila wanamapenzi ya "kituruki"

mbona ni vitu vidogo tu,tuliza akili tu mie nina mademu watatu lkn hawajuani mwaka wa 5 sasa.

Kwa sababu umeshajitambulisha wewe ni msichana mwenye tabia gani nitakuelekeza cha kufanya

Ukipata hilo unaloliita buzi mwambie kama anapenda kuwa na wewe poa lakini wewe ni mke wa mtu

Mpe muda wa kukupigia simu, na mara nyingi uwe unampigia wewe

usioneshe wivu kwake kama nae ana mke au mpenzi mwingine

uwe unaonyesha kutaka kujua hali mpenzi mwingine wa huyo buzi lako

namba yake usiisave kwa jina lake ukiweza uikalili na ukitaka kumpigia iwe inatoka kichwani, hii itasaidie hata jamaa yako origino akiiona utamwambia mi siijui is a new #

pia mwambie ukimpigie simu akipokea asiongee mpaka asikie sauti yako, ili kama jamaa akikushika na akaamua kupiga kwa kutumia namba yako ya simu iwe ngumu kugundua na ikiwezeka majibu yale ni wrong namba

kama buzi lako litakuletea matatizo ya demu wake mwingine usimshauri kwa kuonyesha kuwa hafai

usitaka sana kumchuna

ukiona mtu mwenye sifa hizo huwezi kupata ambae, mimi ninazo na nipo tayari kuwa nawe ni pm

lakini na mimi nina mke

na usitarajie pesa kutoka kwangu

ha ha ha ha haaaaaaaa

yaani wala hujui ulichoandika .. wewe mzima kweli?????

haahahaaa data embu usinichekeshe mimi inamaana bado unaifungua hii sred?

hizi sred ambazo mabinti mnaamua kabisa kwa akili yenu kujidhalilisha.. sizipendi.. zaniharibia siku yangu.. cjui kwa nin nimeisoma

unamaanisha unachokiongea kweli wewe?

Back
Top Bottom