Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kwanini sisi wamatumbi tushindwe na waarabu kwenye fitna?Ingekua kwa waarabu sawa, hawa Niger kuwaonea.
Na hata hivyo mkisema muige waarabu mtashindwa nyiee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ubaguzi waarabu huwa hawakoseiUmechukizwa kwa hawa wa kwenu ila ungefanikiwa kuangalia Yanga walivyofanyiwa kule kwa waarabu and the same B.B sijui unasemaje ?.
Kwa kweli timu ni mbovu, kocha hovyo na tabia iliyoonyeshwa na ball boys ni aibu sana! Na hatutaweza kufuzu haya mashindano kwa sababu mechi ya mwisho Algeria watatuburuza hadi kwenye kona ya ulingo na ukizingatia tuna tofauti ya magoli mawili tu ya kufungwa na wao Uganda watamaliza mechi yao ya mwisho na Niger! Kwa vyovyote vile Uganda itachapa magoli mengi wakati sisi tutachapwa pia magoli mengi na Algeria. Atakaesonga mbele pamoja na Algeria ataamuliwa kwa magoli kama Bayern na Dortmund maana points tutalingana tu na Uganda!Sidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).
Ovyo kabisa.
Tunaongelea timu za taifa braza zinazowakilisha nchi, sasa hao Yanga hata wakifanywa lolote Kwani wanamwakilisha nani zaidi ya kujiwakilisha wenyewe?Umechukizwa kwa hawa wa kwenu ila ungefanikiwa kuangalia Yanga walivyofanyiwa kule kwa waarabu and the same B.B sijui unasemaje ?.
Hata mie nilishangaaSidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).
Ovyo kabisa.
Mpira ni vita haya yote tunayaona kule kaskaziniAtakuwa yule msomali. Si unajua jinsi uwezo wake wa kufikiria ulivyo finyu?
Waarabu wanafanya hayo na mpira wanaujua,siyo sisi tunafanya upuuzi na mpira ni hovyo kabisa! Na watakaosonga mbele katika kundi i hili ni Uganda na Algeria!Wanafanya Waarabu sembuse sisi.. Toa upuuzi wako hapa, huoni mbinu ilitusaidia wakati Hali Iko mbaya.. me da zako bhna Wacha Ball boys Wafanye Mambo zao
Wamejifunza AlgeriaTena wanarusha mipira mingi hadi inaonekana kabisa ni makusudi. Mpira mmoja wa ziada unatosha kusimamisha mchezo.
Na huu uhuni ni kwenye vilabu siyo kwenye timu za taifa. Shenzi kabisa.
Uganda hasongi mbele.. kama vipi weka hela nami niweke hela, tukutane September 😁Waarabu wanafanya hayo na mpira wanaujua,siyo sisi tunafanya upuuzi na mpira ni hovyo kabisa! Na watakaosonga mbele katika kundi i hili ni Uganda na Algeria!
Algeria walikuwa hawarushi mipira mingi vile na ilikuwa inarushwa wakati mpira ukiwa umetoka. Tunakuwa malimbukeni hadi kwenye kufanya uhuni.Wamejifunza Algeria
Sisi hatuna timu. Tuna wezi wa kuku mitaani!Uganda hasongi mbele.. kama vipi weka hela nami niweke hela, tukutane September [emoji16]
Mechi ijayo Uganda wanarudi nafasi ya pili, Algeria kule ushindi droo,ila hata hiyo droo siioni ikipatikana. Uganda Niger atampiga nyingi.waarabu wametufundisha. ila nimeangalia mpira wa uganda na algeria, nimeona uganda wapo mbali sana kimpira hata sijui kwao tuliwafungaje. wanastahili kuwepo nafasi yetu ya pili.
Kwa Algeria tutakula mvua ya maweMechi ijayo Uganda wanarudi nafasi ya pili, Algeria kule ushindi droo,ila hata hiyo droo siioni ikipatikana. Uganda Niger atampiga nyingi.
CAF imeshindwa kuendesha mpira mechi ya Yanga na USM Alger yalotikea matukio ya ajabu nikadhani watajifunza ndani ya wiki hio hio yakajirudia mechi ya Wydad Vs Al Ahly tena mbele ya Rais wa CAFAlgeria walikuwa hawarushi mipira mingi vile na ilikuwa inarushwa wakati mpira ukiwa umetoka. Tunakuwa malimbukeni hadi kwenye kufanya uhuni.
Tukitaka vita inabidi tuanze kupigana wenyewe kwanza, tuvizoee ndiyo tuweze kupigana na wengine. Siku ile nilipoona Yanga wanapita jengo la Simba, tena mara ya pili ndani ya wiki moja, halafu wanawasha moshi wakaondoka bila hata mtu mmoja kupigwa mtama nikajua hatuwezi vita vya mpira. Tubaki tu kuviziana kwenye ulozi na labda kuhonga marefa.Acheni kuleta mambo ya ustaarabu kwenye vita. Good job ball boys